scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,732
Asa unadate na mwanafunzi unafikiria nn ww pia fikra zako bado za kitoto ndo maana unaleta mashtaka ya kitoto kwanza mtu ambaye anajielewa huez waza det na mwanafunz otherwise na ww adolescence inakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app