Nothing4good
Senior Member
- Feb 19, 2011
- 180
- 55
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki
Hivi yule Mwenza ulishampata ?kimbia hatari kama upo gongolamboto yani muda wowote lalipuka hil bi dada ......
mmh kimenichekesha ila kuniuma kusave number........heinken...........wewe sasa msave mataptap......then piga chin
Achana nae. Nitafute mimi. Unaweza ukanitumia wasifu wako japo kwa ufupi tu?
Mkuu..Umri huo kweli utamfaa?Achana nae. Nitafute mimi. Unaweza ukanitumia wasifu wako japo kwa ufupi tu?
Hivi yule Mwenza ulishampata ?
Tuwe tunapeana basi feedback ili tujue kama haya mambo yanawezekana
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki
sa sijui tuonane pm kidogo
Mkuu..Umri huo kweli utamfaa?
Mbona wamtafutia eda binti mdogo namna hii!..lolz!
Ngoja nikapasafishe ili tuongee vizuri... :wink2:
In fact kama ni uwezo nipo kwenye 'peak'. Nahitaji wenye damu changa wanaoweza kuhimili mikikimiki yangu.
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza
Nothing for Good jibu la swali unalo kwenye sentensi yako mwenyewe ya kwanza na nadhani umeshajua anachokitaka... Kwa ufupi hiyo miezi sita uliyokaa nae ni mingi sana..., huyu ungempiga chini wiki ya kwanza tu... Yaani hata hataki kujua Jina Lako :confused3::mmph: Hivi hii inawezekana kweli ?
kwanini ishindikane kwani we unavyo anzisha uhusiano unahitaji jina pale si unataka tu nanii sa jina la nini unaweza kumchagulia tu kama vileATM, VISA(hii inatoa huduma bora) etc etc
Kama ni uhusiano wa masaa mawili baada ya kukutana pale Bar hapo sawa..., lakini hii ya kukaa miezi sita ?, hebu niambie.., hata yule dada anyeniuzia chakula kila siku ninajua jina lake..., sembuse mtu ambae unapanga kuanzisha mahusiano...