Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
- Thread starter
- #41
tafadhali usiendelee kuanika uzoba wako!!
ha ha ha o.k.
tafadhali usiendelee kuanika uzoba wako!!
Sababu ni hiyo au kuna lingine linalokufanya usisome?
Soma kaka weee....watakucheka watu baadae.Mimi nilipata tatizo chuo watu wakanisikilizia course work zitasoma vp walikoma wenyewe walivyoona marks.
I like to stay at MMU because of many reasons..
kweli kuwa uyaone..
Huhitaji kuwa na Degree kutambua kwamba hakutaki.:A S 13:WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri

we komaa, na ubadilishe mbinu za kutongoza utampata tu!!!
ntabadilisha lol
yani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah
sahivi unatongozaje?
Na utabadilisha utongozeje?
Nna nia ya kukusaidia...
hata washkaji hapo mucobz wanasema we ni zoba sio? Naanza kuamini kwa kivipi wakuite zoba..