mathcom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,396
- 519
Umeonae.. huyo si wako potezea kabisa, hata huyo jamaa namuonea huruma sana, nae anaweza kulizwa hapo2 chuo.mkuu umenena demu kanikaushia tangu jumamosi kwa sababu nilikuwa sina pesa za kumpeleka kwenye party na badala yake akatoka na msela nkaja kuambiwa
Hizo ndizo challenge za vyuoni, komaa mwanangu, piga shule..