Simuelewi huyu demu

Simuelewi huyu demu

Kumbe we ni product ya mamako kubakwa eeeh?pole xana
HAPA HAKUNA CHA KUSEMA AZID KUSOMA AACHANA NA HUYO DEM JAMAA UMRI ALIONAO NI UONGO!!naungana na mkuyati,kwamba mwombe mtoke out alafu huko usifanye kosa kama akigoma hata kubaka baka atatia heshma tu!!m mwenyewe kwa shemej yako huku chuo x ilikuwa hvo hvo mpaka saiv ninae anayemtokea anampa makavu!
 
Baada ya muda utasikia mwanafunz wa mwaka ..... ajiua kisa mapenzi!!!!Umefuata degree ya mapenzi au la??Maisha ya kwenu ww wayajua yalivyo ya kuunga unga unaacha kukomaa na shule unaleta story za mume -----........Take care dogo!
 
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
Hizo ndio swagger za mademu wa chuo ukimfuata kistaarabu na kumuonyesha kama unataka kuwa na future naye ndo unakuwa kama unajionyesha lyf la chuo hulijui(but sio wote wapo wastaarabu) wanakuona bonge la ---- kumbe wewe umependa kweli na hutanii mimi nilipokuwa chuo niliexperience such a thng cha kukushauri ni kwamba usimuwaze tena mdelete hadi kwenye recycle bin na dont give a ---- about her wait until u get ur own lover who would care 4 u sio huyo bitch you heard:A S wink:
 
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri

acha ufa.la wewe kamle huyo manzi , sikuhizi hayo mapenzi ya kusubiriana hayapo.... ukiona wewe unasubirishwa ujue kuna mwenzako anabembelezewa akapewe tunda.
sinaga ujinga huo ,kapige hata kimeno
 
yani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah

kaka focus kama unataka kumsahau huyo demu mwambie ili muendelee na urafiki akutoe gemu. Najua kama kweli ni parasite utakuwa umempa bonge la mtego. Akikupa tumia then endelea nae urafiki ukitaka tena omba, najua ni ngumu ila kuna watu huwa hawakubali committment ila benefits poa
 
Duh, nadhani ungeachana naye na kutafuta mwingine hawa viumbe wapo wengi sana japo kuwa kweli kutegemea na viwango ama mitazamo na sifa za kila mtu anazotaka mara nyingine huwa wanakuwa wachache sana, lakini kuwa spare tyre sio kitu kizuri sana kwa hali ya sasa.
 
yani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah

kwani uko chuo gani wewe?
 
Kijana chuo ni kula good times tu, tafuta mwingine mkuu!
 
endelea kuwa rafiki mwema ----- mtozeni....hata yosefu alilala na maria ila bado yesu akazaliwa
 
Sijui kama kweli unampenda maana love na feeling vitu hivi kuvitofautisha ni ngumu sana . Mara nyingi love ni two way traffic lkn feeling mara kadhaa imekua one way traffic. Yaani wewe unakua unamfeel sana wakati yeye hata kidogo hana mpango na wewe . Na hii huwa inatesa sana hasa usipoelwa. Kwa hiyo mkuu hapo hakuna mapenzi cha msingi kubali matokeo na kitu kizuri ni kua feeling huwa zinaisha mapema hasa ukijitambua. Jitahidi kuona uhalisia wa jambo lenyewe.
 
yani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah
Wewe sasa unakoelekea hakufai kabisaaaaaaaa ndio maana wenzio wanakuita zoba kwa sababu hizi hizi. Fanya ulichofuata chuo na kama utaendelea na huo mchezo wa kufeli ndio utalizwa hadi basi. Soma na make sure unafaulu kwa marks za juu ie hasira zako peleka kwenye kitabu soma kama umetumwa na mkoa vile
 
Dah mimi ningekushauri piga msuli kwenye elimu basi,hawa madem wachuo nadhani wanabeba bendera kwa utapeli wa mapenzi
 
soma dogo coz watoto.Wa chuo watakutesa mwishowe uaribu masomo ako na ucje ukasap,kukeli na kudisko
 
chuo miaka ya zamani ulikuwa unaweza kupata mwenza wako wa maisha ila siku hizi mambo yamebadilika, hakuna maadili kabisa, vijana wana mapenzi ya maslahi ndo maana baadhi wanapotea. kuwa makini mdogo wangu zingatia hasa masomo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom