The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,172
Unapata wapi mda wa kufata mademu unaacha kupiga msuli? Soma kwanza mapenzi baadae,mie nimeamua kuweka mapenz pemben hadi nimalizie masters yangu sasa wewe bweteka na haya mapenz ya watoto wa mujini uanze kulialia baadae! Shtuka ukiona manyoya ujue imeliwa