Huyu mwanamke haeleweki

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu amani ya MUNGU WA MBINGUNI IWE PAMOJA NANYI. Kuna jamaa yangu ana mwanamke wake ambae hawana muda mrefu kwenye mahusiano, kuna ka mgogoro kalitokea ni kama kwao na mwanamke wanamsema vibaya jamaa yangu sa juzi jamaa akamuita mwanamke akamuuliza kutokana na maneno maneno ya huko kwenu je unadhan tunaweza endelea kuwa wapenzi na mipango yetu ya kmaisha iendelee? Yule demu akamjbu jamaa kwamba maneno yameshakuwa mengi sn kwaiyo bora tu tufike mwsho. Jamaa anasema alikubali na akamshukuru yule demu kwa ushrikiano na mema yote aliyowaimtendea jamaa. Na akamwambia kuanzia wakati huo wawe dada na kaka tu kama hatojari. Sasa changamoto imejtokeza usku wa sku iyo yule mdada akaanza mtext mshkaji sms kama zote akdai ameumia sn mpk anaumwa kchwa na uwenda hata anasubiri tu kujifia kwa presha. Jamaa akamjbu mbona maamuz ya kuachana ye mdada ndo kaamua sa haya mengne yanatoka wapi? Sasa wakuu ndugu yetu anaomba ushauri afanyaje na je yule mdada alikuwa na maana gani kusema waachane halafu anaanza kutuma sms za hivo
 
Tupinge mkuu huyu jamaa ni wewe

Hiyo ni mosi, pili inakuwaje unakubali kuachana kwa sababu ya maneno we jamaa. Unaogopa kusemwa?

Kama unakubali kuachana sababu ya maneno basi muda wa kuwa na mwenza bado.

Unamjua nguruwe kaka? Yule kiumbe anachukiwa na anasemwa na dini fulani nzima, yaani dini yote kuanzia arabuni hadi amerika hadi afirika lakini ndio anazidi kunenepa!
 
Pole sana kwakua kama rafiki yako hana akili inamaana na ww huna akili. Na sisi tuliokua kidogo tumekuelewa vyema ila ww na huyo mpenzi wako wote ni mazuchu tu
 
Kukubalika ukweni raha sana. Kama hukubaliki Sasa huwezi kukubalika kamwe na ndoa yenu itakuja kuvunjika tu. Achana na huyo dem
 
Nilichojifunza kuhusu Hawa wanawake kama anakuhitaji Bado hawewezi kukwambia umuache au muachane, atamwambia muachane Ili aone jinsi Gani unampenda na kuona kama utambembeleza Ili aendelee kubaki na wewe, Sasa akikwambia muachane na wewe ukakunali basi mwanamke anaumia sana
 
kwaiyo huwa wanajaribu au siyo
 
Huyo mdada alikuwa na mtu mwingine pembeni,mapenzi yamekolea akaona hufai,amepigwa tukio huko ameona bora aendelee na wewe
 
Wakuu amani ya MUNGU WA MBINGUNI IWE PAMOJA NANYI. Kuna jamaa yangu ana mwanamke wake ambae hawana muda mrefu kwenye mahusiano, kuna ka mgogoro kalitokea ni kama kwao na mwanamke wanamsema vibaya jamaa yangu sa juzi jamaa akamuita mwanamke akamuuliza kutokana na maneno maneno ya huko kwenu je unadhan tunaweza endelea kuwa wapenzi na mipango yetu ya kmaisha iendelee? Yule demu akamjbu jamaa kwamba maneno yameshakuwa mengi sn kwaiyo bora tu tufike mwsho. Jamaa anasema alikubali na akamshukuru yule demu kwa ushrikiano na mema yote aliyowaimtendea jamaa. Na akamwambia kuanzia wakati huo wawe dada na kaka tu kama hatojari. Sasa changamoto imejtokeza usku wa sku iyo yule mdada akaanza mtext mshkaji sms kama zote akdai ameumia sn mpk anaumwa kchwa na uwenda hata anasubiri tu kujifia kwa presha. Jamaa akamjbu mbona maamuz ya kuachana ye mdada ndo kaamua sa haya mengne yanatoka wapi? Sasa wakuu ndugu yetu anaomba ushauri afanyaje na je yule mdada alikuwa na maana gani kusema waachane halafu anaanza kutuma sms za hivo
Kakubari ikiwa bado anamuitaji katka Maisha yake inamaana katika Dunia yetu ya Leo mahusiano mengi huwa hayana nguvu ikiwa nyinyi wenyew mlio katika mahusiano mmeshindwa kujishikilia vilivyo mtu anaondoka ikiwa bado anamuitaji nawe mashuhuda ktk hilo no wengi haswaaaa
 
Back
Top Bottom