Simuelewi huyu demu

Simuelewi huyu demu

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
584
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
 
hakutaki move on.............
 
Mpende akupendaye asiyekupenda hachana naye
 
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
Hakutaki huyo ndugu...anakuonea huruma tu kukukatalia...achana nae
 
Cha kufanya endelea kumpenda na muwe marafiki kama ulivyokuambia awali huku ukiwa unajua kuwa kuna mtu anamgegeda, ukiona moyo wako hauumi na una amani kuhusu huo urafiki basi usiuvunje bali kinyume chake uvunje.
 
usikate tamaa na usimwoneshe huyo demu kuwa waujua urafiki wake na msela mpya

endelea kumuonesha kuwa una mpenda kuna siku kama bahati mbaya atagombana na msela wake na demu ataona bora ajiliwaze kwako na hapo ndio mwanzo wa kummiliki.

endelea kuzuga hata kama unaumia-
 
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
Huyo sio riziki yako, sio kila unaowapenda wanaishia kuwa wapenzi wako, ni mmoja tu ndio utampata wa ukweli.
Kama unahisi anakupenda hebu jaribi kumchunia kama wiki moja hivi uangalie atakwambia nini, ukiona kimya jua hamna kitu. Anza kwa kumtoa moyoni mwako taratiibu, wewe piga shule kwanza. Someni vijana mtakuja kupendwa hadi mtawakimbia wenyewe..!!
 
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri

wekeza nguvu zako ktk elimu yako hayo mapenzi yatakupa wazimu achana nayo.............wewe unampenda yeye hana time na wewe sikujitia maruhani bure? achana nae na utakuja kupata mwingine in the long run atakae kupenda kwa dhati hivyo usihuzunike sana kumkosa huyo kimwana.
 
Pole sana,lakini mbona jibu unalo tayari? kama moyo wako umekubali kuumia wewe unatunza wenzio wanajilia sawa,au unakubali kua na tamaa ya fisi sawa,ila chamsingi nikufanya kile ulichokwendea hapo baada ya hapo hao wasichana hawaishi,niliwahi kumsikia babu yangu anamwambia brother wangu kua Ingekua tamu asingeikuta .............
 
We hujaona waliopenda nini?
we humpendi ungesha kunywa sumu weweeeeee
ACHANA NA MAPENZI SOMA KWANZA KIJANA,nchi ishauzwa
 
huyo sio riziki yako, sio kila unaowapenda wanaishia kuwa wapenzi wako, ni mmoja tu ndio utampata wa ukweli.
Kama unahisi anakupenda hebu jaribi kumchunia kama wiki moja hivi uangalie atakwambia nini, ukiona kimya jua hamna kitu. Anza kwa kumtoa moyoni mwako taratiibu, wewe piga shule kwanza. Someni vijana mtakuja kupendwa hadi mtawakimbia wenyewe..!!

mkuu umenena demu kanikaushia tangu jumamosi kwa sababu nilikuwa sina pesa za kumpeleka kwenye party na badala yake akatoka na msela nkaja kuambiwa
 
lakini ananiambia ananipenda na hata nimewahi kulala nae ila alikataaa kabisa kufanya mapenzi na mimi
Asikudanganye mtu..anagegedwa na mtu mwengine ww upo tu u dont even know where ur standing..utakuja kuletewa magonjwa sijui utaenda kumlilia nani kha hebu zinduka ww naona bado umelala....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom