Simuelewi huyu bibi

kwa mujibu wa maelezo yake......bora huyo ni bibi ako wa damu sa ye ni mpangaji tu.. no way I have to believe mana mmmh
 
Ikiwa hivyo ujue huna chako

nishamtia kiganjani yulee hafurukuti ng'oo may be bibi atumie extra power na mpaka niwe na ushahidi wa kutosha..even if I wont let him go so simpo
 
Hahahaaa unasimamia kucha hadi kieleweke
 
nishamtia kiganjani yulee hafurukuti ng'oo may be bibi atumie extra power na mpaka niwe na ushahidi wa kutosha..even if I wont let him go so simpo

haswaaa fanya hivyo ndugu huyu mbibi atashangaa na roho yake
 
[/B][/COLOR]
Mungu wangu, mwambie mchumba ahame upesi la sivyo hutaiona ndoa na bibi ndiye atakaeolewa, Duh! Dunia duara aibuuuuuuuuuuuuu!!!!!

hapo ni kuhama nyumba tu kwan nini bana...... na kusali sana maana hawa wabibi hawa mmmhhhh
 
I do pray mamii vitu vingine kwa akili za kibinadamu ni vigumu nahivi tupo mbali mbali dah mpaka nakosa amani yani..
 
nishamtia kiganjani yulee hafurukuti ng'oo may be bibi atumie extra power na mpaka niwe na ushahidi wa kutosha..even if I wont let him go so simpo

Kama umemtia kiganjani tulia uone bibi anavyomtia kifuani
 
Hatari hii...ila ukahaba ulianzaga lini kweli!...ok ni zao la kale. Pimbi hazeeki maini.
 
Vibibi vingine nuksi .....
Kuna kimoja clip yake ya masimulizi ya kutiwa mpaka kujamba inazunguka wassap.....
Usikute ndo hiko kiko jirani na mpnz wako.
Na akimuonja huyo bb imekula kwako , huwa vinajua pa kushika , nyonya , tomasa papasa n.k

Hahahahaha kumbe umeiona eh hiyo clip!
 
kwa mujibu wa maelezo yake......bora huyo ni bibi ako wa damu sa ye ni mpangaji tu.. no way I have to believe mana mmmh

Mmh, bibi hangeanza kuongea hayo kama hakukuwa na kautani flani hivii, na huenda ndo kamewafikisha hapo walipo. Anyway mshauri ahame upesi ingawa kwangu mimi hadi bibi anizoee kihivyo, siyo rahisi..
 
ha ha ha bibi nuksi anataka apewe ntindo wa "kunasia"...................ha ha ha aka...-j---a,m----ba
 
Mmh, bibi hangeanza kuongea hayo kama hakukuwa na kautani flani hivii, na huenda ndo kamewafikisha hapo walipo. Anyway mshauri ahame upesi ingawa kwangu mimi hadi bibi anizoee kihivyo, siyo rahisi..

nahis ile baba watoto naam bibi baba watoto naam bibi ndo ikamfanya ajenge mazoeaaaaaa!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…