Simuelewi huyu bibi

Kakudanganya! alikuwa story zimemuishia, chunga, huyo si mkweli. Maana hicho kisa hakiingi akilini, labda iwe huyo mama ni mwendawazimu.

huyo bibi akili zake zinamtosha mwenyew yan sijui ni fyatuuuuu sijui ndo kujichetua basi tabu tupuuu
 
mabibi wa mujini hawataniwi! jamaa akiitwa mchumba anaonyesha ushirikiano, bibi kaona ya nini kufa na kijiba cha roho! kavunja ukimya.
 
mabibi wa mujini hawataniwi! jamaa akiitwa mchumba anaonyesha ushirikiano, bibi kaona ya nini kufa na kijiba cha roho! kavunja ukimya.

angeenda kwa vibabu!
 
mi mbona ni DUU..ila sinaga muda wa kusumbuana na mtu kila mmoja na ajue majukumu yake sio kupeana presha maisha yenyew mafupi...

Yani bibi ndio anakutaka wewe au sijakufamu vizuri?
 
haya ndio matatizo ya utani wa kijinga nisio utakaga kabisaaa....
 
Gusa unate, Bibi ana uzoefu wa miaka 50 kwenye game
 
Yani bibi ndio anakutaka wewe au sijakufamu vizuri?

kweli hujanuielewa..bibi iko taka mume ya mimi ..bibi ana genye so kamwambia mume wangu amguseguse hata kwa mikono tu ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…