Simuelewi huyu bibi

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,525
Reaction score
185,663
Habarini wakuu na poleni na majonzi ya kumuenzi muasisi wa Taifa letu.

Hivi hii ni ishara gani mana nikifikiria hata simuelewi huyu bibi. Kuna bibi mmoja ambaye ni ndugu yake mwenye nyumba hapo alipopanga mchumba wamie huwa amezoea kumwita mchumba wangu BABA WATOTO kiutani utani tu mana huyo bibi ni aged sana na ana vijukuu vingi tu.

Sasa jana mpenzi katoka majukumuni kurudi nyumbani mida ya saa 4 usiku. Alipofika alimkuta huyo bibi kakaa kibarazani wakati wengine wote walikua ndani akamsalimia bibi nakutaka kuingia ndani kabla ya kuingia yule bibi akamuita Baba watoto eeee,,, naam bibi... leo mpaka muda huu nimekaa nje nakusubiri wewe, yaani nina NYEEGE nyingi sana.
kabibi kanatamka laivu bila hata aibu.

"Naomba hata unishikeshike kwa mikono tu mi ntaridhika." Kabibi kakawa kanarusha rusha miguu huku kanapanua panua mapaja kakisisitiza "yaani nina muda mrefu kweli hata uniguseguse kwa juu juu tu."

Mpenzi hata hakutarajia kama bibi angethubutu kumtamkia huo uduanzi akaingia zake ndani bila kujibu lolote.

Sasa mimi najiuliza sipati majibu kabisaaa yaani inamaana bibi kashindwa kwenda kujiuza au hajaona vibabu saizi yake mpaka aende kwa kijana ambaye ni kama mjukuu wake?

Anyway GOD FORBID! !!!!!!
 
Nimepigwa na butwaa! Anashindwa vipi kujiheshimu au ni wale mabibi wa mijini(mapashukuna/mashangingi wa kitambo) wasiokuwa na mshipa wa aibu.

Ni majanga kwa kweli
 
Kuanzia leo mtu akiniita mpenzi/mume wangu kiutani utani nampiga marufuku mapema.
 
Weka mbali na wajukuu...na utakuta ni kafundi mitambo hatari kanakutoa kwenye himaya yako ha ha ha pole bibie!!!!
 
Vibibi vingine nuksi .....
Kuna kimoja clip yake ya masimulizi ya kutiwa mpaka kujamba inazunguka wassap.....
Usikute ndo hiko kiko jirani na mpnz wako.
Na akimuonja huyo bb imekula kwako , huwa vinajua pa kushika , nyonya , tomasa papasa n.k
 
Nimepigwa na butwaa! Anashindwa vipi kujiheshimu au ni wale mabibi wa mijini(mapashukuna/mashangingi wa kitambo) wasiokuwa na mshipa wa aibu.

Ni majanga kwa kweli

ni tujitu twa mtwara huko...yani kinathubutu kusema eti kilichoumbwa na mungu hutakiwi kumnyima mwenzako kifalasi kweli hiki kibibi mn-yo wake
 
Vibibi vingine nuksi .....
Kuna kimoja clip yake ya masimulizi ya kutiwa mpaka kujamba inazunguka wassap.....
Usikute ndo hiko kiko jirani na mpnz wako.
Na akimuonja huyo bb imekula kwako , huwa vinajua pa kushika , nyonya , tomasa papasa n.k

ukute ndo hicho mana hakina hata simile kinawaelezea watoto wake bila hata aibu na kinaropoka kwa sauti tu y eti kwakwel sikumbuki hata idadi ya wanaume nlotembea nao mana ni wengi sana" kuna siku nlikutana na boo kubwa balaa yani like likikuingia unalisikilizia mpaka tumboni"
 
mahondaw nitumie mimi hizo namba za huyo Bibi nikamshughulikie fasta.....
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi usikute bibi anasikiaga zile purukushani hivo nae anataka kujionea yaliyomo yamo...

yaani ukimuona huwezi amini ni lipande na bibi haswaa mapaja yamezeeka na yanamakunyanzi Kabisa lakin kamoo..ngoja nikanunue tindikali hakyanani ntapofua mtu macho mimi.
 
Mahondaw unakula peke yako we ndege. Muache bibi aridhike angalau siku moja maama yeye kaomba kushikwa shikwa tu. usiku bado mrefu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…