Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,721
- 39,812
- Thread starter
- #41
vipi Nokia XL itapata update ya kit kat......
hii inatumia forked android version inayobase kutoka aosp, sahau kitkat
vipi Nokia XL itapata update ya kit kat......
Mimi na ka s4 kangu mbona nimepata kitkat 4.4.2 japo sioni changes zozote baada ku -upate speed ni ile ile na mwonekano ni uleule tu
s4 wakati ina 4.2 na 4.3 kwenye ram yake ya 2gb kulikuwa na free ram kama 600mb tu, ila nilivyoiupdate kwenda kitkat free ram ikaongezeka now unapata hadi 900mb. nenda setting then apps then running utaona ilivyo efficient now

Nimeangalia maduka mawili ya mjini kati sijafanikiwa kuona hii simu na motorola nyingine mpya. Inaonekana kama watanzania wengi hawazijui sana, tofauti na brand za samsung, iphone na htc. Hata kupata simu kama lg g2 maduka ya kawaida ilikuwa shida sana. Ukipata taarifa tujulishane
Sio kwamba hawazijui ila moto soko lake liliangukaga so ikawa kama kapotea alaf watu wakapanda basi lingne
Yeah ni kweli ila amini kuwa mtu anayejua simu atafanya maamuzi ataconsider brand zote. Kuna mtu alikuwa na budget ya 350,000 nikamshauri acheki kwanza moto g, mwisho wa siku mwenzangu akapata ushauri mwingine akaangukia kwenye tecno. Kwa mtu anayejua simu hizi ataelewa moto g pamoja na limitations zake inapata updates, processor nzuri, system ninkaribu na stock android. Ni mapenzi na mtazamo lakini kuna watanzania wengi mpaka aone simu inanunuliwa na wengi anajua ndo nzuri.
s4 wakati ina 4.2 na 4.3 kwenye ram yake ya 2gb kulikuwa na free ram kama 600mb tu, ila nilivyoiupdate kwenda kitkat free ram ikaongezeka now unapata hadi 900mb. nenda setting then apps then running utaona ilivyo efficient now
Note 3 hiyo wakuu!
Hiyo mbona inaonekana ni product ya China? naona inasoma 4g na edge kwa wakati mmoja.
Been running Lollipop Preview on my N5 since it was released, just flashed a test ElemntalX and its running like a dream.
http://i.imgur.com/5TYjg51.jpg
http://i.imgur.com/Qal25cf.jpg
imgur: the simple image sharer
imgur: the simple image sharer
imgur: the simple image sharer
imgur: the simple image sharer
Moto wako poa sana unaikumbuka l6 mkuu? nambie enzi zake.
Alaf nambie eaphone zake na mziki wake ulivokuwa mtamu.
Nataman sana moto awashe moto kama huawei au tecno yani ziwe kibao.
Nashachoka ma simu ya jezi najipanga kwenda sony au motorola, sitak nokia, samsung,wala nni.
nisaidie screenshot ya ulaji wa ram
http://i.imgur.com/jo9caIz.jpg Keep in mind that some of that free RAM is cached. And free RAM is a wasted RAM. Here's an example http://i.imgur.com/WvRKS30.jpg
sio mbaya ila nahisi kama simu za android za 512mb zitapotea.