Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Mimi nina z1 compact sasa Tatizo nikitaka ku update inaniambia Mpaka Ni connect kwenye laptop.kama kuna Mtu ana utaalam basi anielekeze.
 
Mimi nina z1 compact sasa Tatizo nikitaka ku update inaniambia Mpaka Ni connect kwenye laptop.kama kuna Mtu ana utaalam basi anielekeze.

sidhani kaka kama inahitaji laptop maana simu zote za siku hizi zinapata ota updates. hebu upload screenshot ya hilo tatizo tuone
 
sidhani kaka kama inahitaji laptop maana simu zote za siku hizi zinapata ota updates. hebu upload screenshot ya hilo tatizo tuone

chief by ota umemaanisha inaji update yenyewe au? maana jamaa mtaani wanapiga pesa kwa hizo updates
 
chief by ota umemaanisha inaji update yenyewe au? maana jamaa mtaani wanapiga pesa kwa hizo updates

ota inamaanisha over the air yaani simu inapata updates toka kwa mtengeneza simu bila kupitia kifaa chengine kama computer.

updates kama ya lolipop ni kubwa hivyo challenge hapa ni kupata internet connection yenye speed na yenye data za kutosha. inaweza range mb 300 hadi 2gb kwa hii lolipop.

huwenda hao jamaa wanapiga hela sababu wana internet nzuri.

ku update na ota nenda setting halafu about halafu software updates
 
tukiwa tunakaribia mwisho wa mwaka na manunuzi ya simu yanazidi kuongezeka makampuni mbalimbali yameanza kutangaza list ya simu zao zitakazopata hii update ya pipi ya kijiti. nimeamua kueka list ya simu zitakazopata hii update kwa pamoja ili ukienda kununua simu ujue unanunua simu gani ili baadae ipate hii update na kuondoa kero ya kununua simu kila siku.

sony xperia
sony wao wametangaza simu zao zote zinazoanziwa na heru Z basi zitapata update ya lolipop hii inainclude hadi simu kama xperia z, z ultra, zr na zl ambazo ni za toka mwaka 2013. hivyo kama una plan ya kununua xperia inayoanziwa na herufi z au unamiliki simu kama hiyo usiwe na wasiwasi utapata update yako muda ukifika.

motorola
motorola amefurahisha wengi kwa kutoa update hii kwa karibia simu zake zote, hii ni list ya simu zake zitakazopata hii update

1.moto x zote ya mwaka jana na huu
2.moto g zote za mwaka jana na huu
3.moto e
4.droid ultra
5.droid maxx
6.droid mini

inafurahisha kuona simu kama moto E inapata hii update kulingana na bei yake ilivyo rahisi.

htc
htc yeye ameconfirm simu nne tu ndio zitapata lolipop ambazo ni

1.htc one m7
2.htc one m8
3.htc one mini
4.htc one mini 2

lg
1.lg g3
2.lg g2

asus
1.zenfone zote
2.padfone infinity
3.padfone s
htc one m7 na m8 zitapata update hii ndani ya siku 90 toka ilipotangazwa hii update.

hao ni manufacture watatu wameshatangaza, wengine wakiongezeka nitaupdate list.

Kaka mkwawa sisi wa HTC one max ndio tusahau hii lollipop?
 
ota inamaanisha over the air yaani simu inapata updates toka kwa mtengeneza simu bila kupitia kifaa chengine kama computer.

updates kama ya lolipop ni kubwa hivyo challenge hapa ni kupata internet connection yenye speed na yenye data za kutosha. inaweza range mb 300 hadi 2gb kwa hii lolipop.

huwenda hao jamaa wanapiga hela sababu wana internet nzuri.

ku update na ota nenda setting halafu about halafu software updates

thanks sana chief
 
Hii hapa screen shot ya Xperia z1 compact.
 
Attachments

  • 1421120217463.jpg
    1421120217463.jpg
    41.1 KB · Views: 290
Nimefurahi kwamba nimepata android 5.0.2 kwenye moto g yangu juzi
 
Attachments

  • 1421314719181.jpg
    1421314719181.jpg
    39.4 KB · Views: 270
  • 1421314769966.jpg
    1421314769966.jpg
    50.5 KB · Views: 260
Huawei hakuna duuuu

huawei most ni ---- so haziwezi, hizi za y-series sahau, mediatek kupata official update ni ndoto, next time jiue nunua real toy, btw ikipigwa code inaenda tu lollipop
 
Ambao mshaonja lollipop nini sie tunakosa na kitkat zetu?

Je feature walizosema zipo?

kama security? ulaji wa betri je?

vip mambo ya ku stuck ovyoo
 
Back
Top Bottom