Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Haaa haaa haa haaa sema usikate tamaa iko siku mtakumbukwa😁😁
 
nimeapdate galaxy core prime but sijaona any changes. Ktk android version bado inasoma 4.4.4
shida ni nini?
model no. Sm-G360H
 
nimeapdate galaxy core prime but sijaona any changes. Ktk android version bado inasoma 4.4.4
shida ni nini?
model no. Sm-G360H
Sio updates zote zinabadili version na kitkat zipo nyingi mfano unaweza kuwa na 4.4.2 then ukapata updates kwenda 4.4.4
 
Sio updates zote zinabadili version na kitkat zipo nyingi mfano unaweza kuwa na 4.4.2 then ukapata updates kwenda 4.4.4
Shukran. Ila nazungumzia updates za lollipop? Kuna fununu mtandaoni kwamba core prime zinapata lollipop
 
mimi nimepata hiyo update jana usiku ila sijaona chochote kipya zaida ya kubadirika kwenye system badala ya kusoma 4.4.2 sasa panasoma 5.0
 
Shukran. Ila nazungumzia updates za lollipop? Kuna fununu mtandaoni kwamba core prime zinapata lollipop

Samsung wana ubaguzi wakitoa updates, siku zote Africa tunakuwa wamwisho mwisho.

Jaribu kuangalia na kies
 
Hatimae na mimi nimepata Android 5.0.2 kwa Xperia Z though i dont see the difference.
 
Mie cjui maana ya technological terms kama hizi jamani: jelly bean,kitkat,CPU,RAM,ROM,1.2GHz/1.3GHz,cjui 3G,2G,4G n.k
Wataalam kina chief Mkwawa and the like p'se nisaidieni make jf darasa tosha.
Aksanteni.

mbona cimpo tu.... just google:typing: utaona maana yake ....google.co.tz au http://techterms.com/ ukiona huelewi.. rudi hapa tutakuelewesha vizuri man
 
Back
Top Bottom