Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Alcatel wametutumia message kuwa tusiwe na hofu SIMU zetu zitawezeshwa kupokea hiyo update SIMU yangu ni Alcatel pop c9

nimecheki hii simu ina android 4.2, umeshapata kitkat? kama kitkat hauna basi sahau lolipop wanawapa moyo tu.
 
Nimeangalia maduka mawili ya mjini kati sijafanikiwa kuona hii simu na motorola nyingine mpya. Inaonekana kama watanzania wengi hawazijui sana, tofauti na brand za samsung, iphone na htc. Hata kupata simu kama lg g2 maduka ya kawaida ilikuwa shida sana. Ukipata taarifa tujulishane

karibu asilimia 90 ya maduka dar wananunua kwa jumla hapa hapa tanzania. hivyo huyo mastermind akileta tecno basi wote wanauza tecno siku akiamua kuleta micromax basi maduka yote yatauza micromax. na hao wanaoenda nje tayari wameshaathirika na soko letu wanawaza kuleta simu hizi hizi ambazo zipo.

inaskitisha simu kama moto e haipo kwenye maduka yetu wakati ndio simu iliotakiwa iuzike kama karanga ikipambana na y530.
 
Samsung Galaxy Duos 2
4:2:2 Vp itapata hiyo Lollpop
 
sony wameonyesha ukomavu sana kwa ku update hadi simu za mwaka 2013

Hivi ni kwa nini hawa android partners wanakuwa wazito sana kuzipa midrange smartphone update wakati huwa zimakaribiana specs na high-end smartphone!!?
 
Hivi ni kwa nini hawa android partners wanakuwa wazito sana kuzipa midrange smartphone update wakati huwa zimakaribiana specs na high-end smartphone!!?

tatizo wanatoa simu nyingi. motorola simu zake za world wide ni tatu tu, moto x, g na e hivyo hapati kazi kutengeneza updates ndio maana ka update simu zote.

tatizo jengine ni urembaji ukiwa mwingi. kila manufacture wa android anataka amodify awe unique. samsung na touchwiz sjui htc na sense hivyo ikitoka lolipop kama hivi inabidi waitouchwiz kwanza kabla ya kuiweka hewani mwisho wa siku ni highend tu ndio zinapata.
 
samsung haina haja ya kujitangaza wao kama ilivyokuwa ktk kitkat kuanzia s4 nadhani zitapata update hio

Nina samsung galaxy s4 verizon SCH I545 mpaka sasa haijapata hiyo update ya 4.4.2 kitkat

Inawezekana hata hii mpya nikaisikia tu, kila nikijaribu kuchungulia kama kuna update mpya nakutana na kitu kama hii;-
 

Attachments

  • 1413657499171.jpg
    1413657499171.jpg
    35.9 KB · Views: 522
Nina samsung galaxy s4 verizon SCH I545 mpaka sasa haijapata hiyo update ya 4.4.2 kitkat

Inawezekana hata hii mpya nikaisikia tu, kila nikijaribu kuchungulia kama kuna update mpya nakutana na kitu kama hii;-

hilo ni tatizo la verizon samsung walishatoa update. carrier wa marekani huwa wana tabia za kublock updates hadi wazitest
 
Tunashkuru sana sie wenye vi S4 vyetu kila wakipita pita lazima waje na kwetu.......Nnaisubiri sanaa hiyo Lilipop
 
Mimi na ka s4 kangu mbona nimepata kitkat 4.4.2 japo sioni changes zozote baada ku -upate speed ni ile ile na mwonekano ni uleule tu
 
vipi Nokia XL itapata update ya kit kat......
 
Back
Top Bottom