Simu za touch na madhara yake

me mlokole

Member
Jul 17, 2015
27
11
Wapendwa binafsi nimegundua usipokuwa mwangalifu utajikuta unaingia jehanam kwa ajili ya simu hizi. Hebu kila mmoja aseme alilowahi fanya baya kupitia simu yake
 
Mambo yako ya ulokole tutolee humu...Tafadhali, kama hujui kupost mada nzuri sema usaidiwe...Eboo
 
Nimetumia miaka mingi sijawai kuona madhara ya hiyp simu labda atuambie kilichompata katika hiyo simu
 
Back
Top Bottom