Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,268
Bei kiasi ganiYes inapatkana bt kwa order maalum naweza kukuketea boss
Bei kiasi ganiYes inapatkana bt kwa order maalum naweza kukuketea boss
Kiongoz ntumie namba yako inbox tuzungumze vyema,kwa bei sjawah leta iphne ila utaipata kwa bei nzur 2.maana napochukulia mzgo zipo smrtphne nyng tu.hvyo ukihtaj mim naweza kukuletea.bt 2wasliane mapema ili by next w3k mzgo unapoingia mwingne uipokee.bei ntakufahamishaBei kiasi gani
Ukinunua ntakuonyesha..Weka na risiti uliyonunulia hizo simu kwanza
Wait... loadingUkinunua ntakuonyesha..
Jamaa hapatikaniNokia ASHA laini mbili zpo hapo..?
Umenitumia sms mda gan mbna napatkana,Namba uliosema iko Whatsapp ni hii ya Tz
Na SMS Hazifiki
Unatupa mashaka most of people wanasema hupatikani why this?Umenitumia sms mda gan mbna napatkana,
Nilisafr kiongz,ndio maana kulikuwa kmya.polenUnatupa mashaka most of people wanasema hupatikani why this?
Elfu 20Nokia ya tochi unauzaje
Pole,nlikuwa nje ya nchi,bt majukum nlimwachia mtu,Huyo hapatikani ukimuuliza hujibu
Angeweka location alipo watu wamcheki