Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,637
Sehemu gani mkuu?Ndio kiongozi
Sehemu gani mkuu?Ndio kiongozi
Mkuu hauna zile matoleo mapya?View attachment 669688 Wadau,
Karibuni Nina Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na za kawaida design zote. kwa bei nzuri kabisa nauza.mzigo upo mwingi hata ukitaka PC nyingi unapata..kwa wale mawakala wa mpesa na wafanyabiashara wengine wanaopenda kutumia hizi simu kwajuwa zinakaa na charge na ziko fast.nawakalibisha wote.ninaweza kukutumia popote ulipo kwa wale kama watakohitaji PC nyingi zaidi.
Bei ya simu ni elfu 17000/= kwa jumla na reja reja elfu 20,000/= pekee,simu zote ni mpya.
Kwa anayehitaji piga simu namba hii 0755889938 au WhatsApp +2650993385038
KaribuniView attachment 669688 View attachment 669691tView attachment 669695 View attachment 669692
PM/inbox = uchochoroniSimu zipo nyingi sana model tofaut za Nokia nitafute inbox tuzungumze..good condition and affordable price..karibu
Una nokia C2?Simu zipo nyingi sana model tofaut za Nokia nitafute inbox tuzungumze..good condition and affordable price..karibu
Ntakufuata Kule Mtaa 3Eddy habari nimepata ujumbe wako
Ikiwa Nayo Type Izo ItapendezaUna nokia C2?
Kama ndio,bei gani?
Nahitaji Moja Tuu Mkuu.View attachment 669688 Wadau,
Karibuni Nina Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na za kawaida design zote. kwa bei nzuri kabisa nauza.mzigo upo mwingi hata ukitaka PC nyingi unapata..kwa wale mawakala wa mpesa na wafanyabiashara wengine wanaopenda kutumia hizi simu kwajuwa zinakaa na charge na ziko fast.nawakalibisha wote.ninaweza kukutumia popote ulipo kwa wale kama watakohitaji PC nyingi zaidi.
Bei ya simu ni elfu 17000/= kwa jumla na reja reja elfu 20,000/= pekee,simu zote ni mpya.
Kwa anayehitaji piga simu namba hii 0755889938 au WhatsApp +2650993385038
KaribuniView attachment 669688 View attachment 669691tView attachment 669695 View attachment 669692
mkuu nina c3,c2 sina ila kama utakuwa unahitaji nikufanyie order nikuletee,c3 mpya nauza elfu 70000Una nokia C2?
Kama ndio,bei gani?
ni mpya kimuonekano na engine zake pia mpya,ndani hadi nje,charge,utapata.Simu mpya kitu na box au mpya kimuonekano??
napatikana kiongozi,pole may be mtandao tu but niko hewaniHizo simu number zako kajanja
Hazipatikani
utapata naweza tuma,Nahitaj ila nipo mkoani.
karibu mkuu,Nipo mbeya nimechoka matecno meseji ikija yanalia kama nimeangusha chupa kwenye malu malu
Sehem gani?Ndio kiongozi
Ivi hilo jina lilikujaje?Nokia Obama pia ni 17000 bei ya jumla!!!
Namba Zako Hazipatikan Bwana....mkuu nina c3,c2 sina ila kama utakuwa unahitaji nikufanyie order nikuletee,c3 mpya nauza elfu 70000