Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Mnapatikana wapi hapa dar?
 
Jamani aliyenunua simu kwa hawa watu akafanikiwa alete ushuhuda
 
Mi nahitaji niko Bukoba C-X3
,nokia c3 utaipata,na x2 ipo.kama uko bukoba ni kwenye bus utatumiwa,ila uwe serious,watu mnasema mtumiwe kisha mnapotea wala mzgo hampokei.mnakatsha tamaa
 
Una Nokia Asha 202 mkuu?
Nilianza kuuliza..[emoji115]

Ukajibu..[emoji116]
Ipo utapata kwa elfu 80 mpya,
Nikauliza tena...[emoji116]
Za kugombania au za kutosha, maana nipo mkoa, next week narudi Dar
Ukajibu..[emoji116]
Kwa asha utapata wakt wowte ila hz ndgondg ndo zakugombnia.
Kuna mungine akaomba nikijibiwa Na yeye nimjuze..[emoji116]
Ukijibiwa nambie mkuu
Ukamjibu.[emoji116]
Nishamjibu,ipo kwa elfu 80,
Now unayakana maneno yako.. wakati ulisema zipo wakati wowote..[emoji116] [emoji116]
Asha hyo sina,,naomba nkwambie ,sio nokia zote ninazo.,zingne kama mtu anahtaj anatoa order namletea ndgu.
Haya bhana... Biashara njema kaka...
 
Subr nirud toka safar kiongz,cm yako utaipata,asha uliyohtaj ni 202,na aina ya nokia asha zilizokuwepo ni nyingne japo toleo ni mmoja.nkirudi tz ntakutafta .niinbox namba yako.nikileta nitaktafta.pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…