Simu za Mikopo Scheme Mpya za Utapeli

Mkuu ila hizi kampuni kwa sasa huwa zina bima yaani wamejiandaa kwa lolote jambo
Ambayo hiyo wanailipia, which is ni ongezeko la gharama kwenye biashara. Bado walipe wakopeshaji, wafanyakazi, ads, kodi na mambo mengine.
 
Ambayo hiyo wanailipia, which is ni ongezeko la gharama kwenye biashara. Bado walipe wakopeshaji, wafanyakazi, ads, kodi na mambo mengine.
Aisee kila mtu atachapika kwa muda wake
 
Sio utapeli maana mnunuzi anajua atakacholipa. Labda tuipe jina lingine!
 
Sasa hiyo ni ujinga wa hao wanaokwenda kukopa kwa nini wasigome kwenda kukopa kwani wamelazimishwa?unakopa simu kwani usipokuwa na simu utakufa?
Hizo pesa za kila siku unazowapelekea kwa nini usizihifadhi ndani kwako kisha zikitimia ukanunue simu mwenyewe dukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…