Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Watu wapo busy kuiba pesa za wanyongeInasikitisha na kukatisha tamaa sana
Watu wapo busy kuiba pesa za wanyongeInasikitisha na kukatisha tamaa sana
Ipo siku zitawatokea puaniWatu wapo busy kuiba pesa za wanyonge
Hakuna kitu mifumo ni mibovu snIpo siku zitawatokea puani
Ushahidi si mpaka ufungue kesi au??Tukikuomba ushahidi wa haya utatuonyesha? Kwamba kweli kwa mwaka ulipiga namba hazipokelewi na wakati wa awamu zilizopita zilikuwa zinapokelewa?
Nguvu ya Wananchi ni hatari sana , kuliko nguvu yaoHakuna kitu mifumo ni mibovu sn
Mkuu, nitashukuru sana sana ukinipa mrejesho.Anyway, sio case ...nikifanikiwa nitakujulisha. Ila daah...jamaa wanajiona keki sana!!!
Usijali. Kuna ofisi nyingine ...ipo hapa Dodoma,....nitaenda kuwauliza kama wanaweza kunisaidia.Mkuu, nitashukuru sana sana ukinipa mrejesho.
SureNguvu ya Wananchi ni hatari sana , kuliko nguvu yao
SanaHV down town za USA zinapokelewa kweli
Sakata la bandari halina hata mwezi tangu limeanza kuongelewa. Mimi nimekua nikiwapigia tangu December 2022, hawapokei mpaka leo.Hawawezi pokea simu kipind hiki chenye vugu vugu la sakata la bandari.
Una visa si bure!Ushahidi si mpaka ufungue kesi au??
Nilishafanya hivyo. Wakanijibu baada ya miezi minne. Nikawaandikia tena....sasa unaelekea mwezi wa nne hawajajibu badoAndika barua mkuu