MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,696
- 4,978
- Thread starter
- #61
Kweli tena...jamaa hawapokei simu.Duh
Ova
Kweli tena...jamaa hawapokei simu.Duh
Ova
Vikao wiki nzima bro? Kumbuka kesho ni ijumaa. Tangu Jumatatu nawapigia simu hawapokei.vuta subira watakuwa kwenye vikao
Nimewahi kuanzisha uzi humu kulalamikia hii kitu, ushauri niliopewa toka kwa baadhi ya wachangiaji ikawa nifunge safari hadi getini Ikulu kupata maelekezo ya utaratibu wa kufuata kama nina shida ya kuonana na ofisa wa Ikulu.Dharau Kubwa Sana Mwananchi Anapiga Simu Lakini Inaitaaa Haipokelewi
Msemaji Wa Serikali Ama Kurugenzi Ya Mawasiliano Ikulu Ya Chamwino
Ije Hadharani Kutoa Ufafanuzi Laa Sivyo Number Hizo Zifutwe Kwenye Nyaraka Za Serikali
Pole sana.Nimewahi kuanzisha uzi humu kulalamikia hii kitu, ushauri niliopewa toka kwa baadhi ya wachangiaji ikawa nifunge safari hadi getini Ikulu kupata maelekezo ya utaratibu wa kufuata kama nina shida ya kuonana na ofisa wa Ikulu.
Ushauri huu ulinishangaza sana. Dunia ya leo nifunge safari toka Mugumu Serengeti hadi Chamwino kwa huduma ambayo ningeipata kwa gharama isiyozidi sh 2,000 ya muda wa maongezi kwenye simu!
Terrible.
Mimi nimepiga simu mara nyingi hapo Ikulu pasipo kujibiwa.Vikao wiki nzima bro? Kumbuka kesho ni ijumaa. Tangu Jumatatu nawapigia simu hawapokei.
Ukienda Ikulu Chamwino, wanakwambia hawatumii geti la nyuma.....LIMEFUNGWA.
Wanakwambia uzunguke geti la mbele....geti jipya. ( Kuna umbali mrefu sana kulifikia )
Na ukifika unakutana na vijana wana roho mbaya sana....nilishuhudia kuna watu walifika pale...wakashindwa kujielezea kidogo tu, wakakataliwa kuingia....niliumia sana. Hao ni watu ambao walikua mbele yangu na inavyoonyesha walienda pale kwà ajili ya kufanya service ( walikua mafundi / walikua wamevaa maovaloli )
Wewe ni Usalama wa Taifa. Acha kutuzingua bhana! Kujikomentisha!!! Wenzako tupo serious hapa !!! Tafadhali waambie hao jamaa wenzako wapokee simu zetu!!!Mimi nimepiga simu mara nyingi hapo Ikulu pasipo kujibiwa.
Shida yangu ilikuwa kupata maelekezo juu ya utaratibu wa kufanya appointment kuonana na Katibu mkuu kiongozi au wasaidizi wake.
Hadi leo sijui nifanyeje.
Acha masihara mkuu. Nimewahi kuanzisha uzi kama wako humu miezi mingi iliyopita, shida yangu ni hiyo ya kufanya appointment kwenye ofisi ya katibu mkuu kiongozi.Wewe ni Usalama wa Taifa. Acha kutuzingua bhana! Kujikomentisha!!! Wenzako tupo serious hapa !!! Tafadhali waambie hao jamaa wenzako wapokee simu zetu!!!
Kuna jamaa walitaka kuniingiza mkenge,....walitaka pesa ili wanikutanishe na AFISA wa humo Ikulu...,Acha masihara mkuu. Nimewahi kuanzisha uzi kama wako humu miezi mingi iliyopita, shida yangu ni hiyo ya kufanya appointment kwenye ofisi ya katibu mkuu kiongozi.
Nitashukuru japo ukinielekeza nianzie wapi bila kulazimika kufunga safari kwenda huko, hii ni baada ya wewe kufanikiwa kuingia huko.
I am serious.
Ndiyo tabia za wabongo wakifanikiwa kidogo tuIkulu ni ofisi kubwa sana. Kuna watu wa Usalama+ kuna ma IT makini sana....kuna MaPs wasomi kabisa....sidhani kama haziiti huko ofisini kwao. Ni ujeuri tu ndio wanaoutumia. Kujisahau na kujiona wamefika,..kana kwamba watakua kwenye ofisi hiyo milele. #UkosefuWaAkili
Ukweli huduma zimekuwa za hovyo snNdo wako hivyo toka Magufuli afariki kumekuwa na huduma mbovu Sana kwenye ofisi za uma
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hii ni aibu kubwa sana. Usikute na wao wanaziiga ofisi zilizoko juu yao.Ofisi nyingi za serikali ziko hivyo, katika mikoa yote ya tz hebu jaribu kupiga ofisi ya RAS itakayopokelewa yaweza kuwa mikoa 3 au hakuna kabsa au simu zenyewe hazifanyi kazi utaambiwa zinadaiwa.
NI hatari snOfisi nyingi za serikali ziko hivyo, katika mikoa yote ya tz hebu jaribu kupiga ofisi ya RAS itakayopokelewa yaweza kuwa mikoa 3 au hakuna kabsa au simu zenyewe hazifanyi kazi utaambiwa zinadaiwa.
Ina kera sanaNdiyo tabia za wabongo wakifanikiwa kidogo tu
Huo ndiyo ukweliHii ni aibu kubwa sana. Usikute na wao wanaziiga ofisi zilizoko juu yao.
Wanafanya hivyo kwà maksudi.
Ni poor customer careIna kera sana
Inasikitisha na kukatisha tamaa sanaUkweli huduma zimekuwa za hovyo sn