Simu za mezani Ikulu ya Chamwino hazipokelewi

Simu za mezani Ikulu ya Chamwino hazipokelewi

Jaribu kupiga muda wa kazi
Nasemaje....nilishapiga sana siku za kazi....muda wa Kazi.....

Kuna siku niliamua kupiga KILA interval ya 30mins....tangu saa 2asbh hadi saa 10 jioni. Hola....


Kiufupi , nimetumia KILA aina ya njia lakini hawapokei kabisa!
 
Kwema Ndugu zangu,

Hii sasa ni ya pata nusu mwaka....kila nikipiga namba zilizopo kwenye tovuti ya Rais SAMIA ( www.ikulu.go.tz ) hazipokelewi kabisa.

Zinakua zinaita tu bila kupokelewa.

Ina maana ofisi ya Rais haina maPS? Na je kwanini namba hizo huwekwa kwenye nyaraka za Serikali ( Barua ) ?

Kwani kupokea simu inachukua muda gani Ndugu zangu wa hapo Chamwino IKULU? Mbona mnalinga sana nyie watu? Mbona mnajisikia sana asee? Tutawapataje sasa, kama kupokea simu za ofisi hamtaki??!!!

Kuna umaana gani sasa wa kuweka hizi namba za simu kwenye barua zenu kama kupokea simu inakua shida...asee...ebu kuweni na UTU hata kidogo. Hizo ni ofisi tu na mtaziacha, msifikiri mtakaa humo milele!..Utaratibu wa hovyo sana huo!!! Yani watu wanawapigia simu , nyie mnakua mnaziangalia tu huku mkipiga story za mapenzi ofisini + umbea

NAMBA ZA SIMU HIZI : 0262961500 na 0262961501 HAZIPOKELEWI KABISA HAPO CHAMWINO IKULU DODOMA.


Ova
Wanaogopa kupokea simu kuogopa kukutana na mambo ya DP World mkuu

Ikulu Pia ni mahala patakatifu ila awamu ya 6 ??????
 

Attachments

  • IMG_0644.MP4
    11.8 MB
Naomba namba yake au email address yake.

Halafu , mbona wakati wa Hayati Magufuli au Marehemu Kikwete zilikua zinapokelewa tu? Kulikoni sasa hivi kwenye huu Uongozi wa huyu Mama?
Watumishi wanakesha Airport kumsindikiza mama dubai, hakuna muda wa kupokea simu za mezani
 
Ikulu ni ofisi kubwa sana. Kuna watu wa Usalama+ kuna ma IT makini sana....kuna MaPs wasomi kabisa....sidhani kama haziiti huko ofisini kwao. Ni ujeuri tu ndio wanaoutumia. Kujisahau na kujiona wamefika,..kana kwamba watakua kwenye ofisi hiyo milele. #UkosefuWaAkili
Mkuu TTCL ipo hoi hivi sasa
 
Wanaogopa kupokea simu kuogopa kukutana na mambo ya DP World mkuu

Ikulu Pia ni mahala patakatifu ila awamu ya 6 ??????
Sio kweli....


Nina amini huenda hawataki tu kuhudumia Wananchi. Maana issue ni kusikiliza content ya mpigaji simu.....kama ni kuhusu DP World waikate....lakini sio kutuonea sisi ambao tuna shida za tangu miaka 12.....

Yaani barua inaandikwa leo....unajibiwa baada ya miaka 6....ukiijibu ,...jibu lake unalipata tena baada ya miaka mitatu...


Afu ni issue ndogo tu....lakini watu wamekaa tu na mafaili ofisini....kipupwe nyuzi 22°...chai bure...lunch bure...posho kibao...misharaha minono....nguo za kazi nadhifu....

Lakini mijitu inashindwa kujua kuwa imewekwa hapo na Mungu,....badala ya kutoa huduma kwà WANANCHI Masikini , inakua mivivu , milevi, mizinzi..inagombana maofisini....inafail hata namna ya kuongoza ....ina kwepa majukumu ya Kazi zao. Bure kabisa!!!
 
Kwema Ndugu zangu,

Hii sasa ni ya pata nusu mwaka, kila nikipiga namba zilizopo kwenye tovuti ya Rais Samia (www.ikulu.go.tz) hazipokelewi kabisa. Zinakua zinaita tu bila kupokelewa.

Ina maana ofisi ya Rais haina maPS? Na je kwanini namba hizo huwekwa kwenye nyaraka za Serikali ( Barua )?

Kwani kupokea simu inachukua muda gani Ndugu zangu wa hapo Chamwino Ikulu? Mbona mnaringa sana nyie watu? Mbona mnajisikia sana asee? Tutawapataje sasa, kama kupokea simu za ofisi hamtaki?

Kuna umaana gani sasa wa kuweka hizi namba za simu kwenye barua zenu kama kupokea simu inakua shida, asee hebu kuweni na utu hata kidogo basi.

Hizo ni ofisi tu Ndugu zangu na mtaziacha, msifikiri mtakaa humo milele. Utaratibu wa hovyo sana huo. Yaani watu wanawapigia simu, nyie mnakua mnaziangalia tu huku mkipiga story ofisini.

NAMBA ZA SIMU HIZI: 0262961500 na 0262961501 HAZIPOKELEWI KABISA HAPO CHAMWINO IKULU DODOMA.
Inategemea unapiga saa ngapi.
 
Watasema ulikua una beep
Jamaa wanadharau sana aisee. Yani wanajisikia sana...wamejawa viburi. Yani wanajiona kama Miungu vile,....like....unatujua sie nani? Unasemaje kwani? Unatakaje sasa kwà mfano? Ebu tembea huko! Na hatufanyi sasa....fanya lolote, sema chochote na hutupeleki popote!?? Na hatukushughulikii sasa libarua lako na hauwezi kutufanya lolote ng'ombe wewe!!!


Daah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Sawa bhana!!!! Mungu yupo!!!
 
Jamaa wanadharau sana aisee. Yani wanajisikia sana...wamejawa viburi. Yani wanajiona kama Miungu vile,....like....unatujua sie nani? Unasemaje kwani? Unatakaje sasa kwà mfano? Ebu tembea huko! Na hatufanyi sasa....fanya lolote, sema chochote na hutupeleki popote!?? Na hatukushughulikii sasa libarua lako na hauwezi kutufanya lolote ng'ombe wewe!!!


Daah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Sawa bhana!!!! Mungu yupo!!!
Duuh simu zao si zinarekodiwa?
 
Duuh simu zao si zinarekodiwa?
Hata kama zinarekodiwa...sidhani kama wanakua na muda wa kusikiliza kinachoongewa.

Ni hivi...jamaa wanadharau sana. Yaani wanajiona wamefika....kama ambavyo wanatuona maboya...ndivyo Mungu anawaona maboya zaidi....ipo siku...ni suala la timing tu. #Just a matter of time.


Kisukari, HIV,..cancer..mipressure...itaanza kuwaua mmoja baada ya mwingine. Mungu fundi.
 
Dharau Kubwa Sana Mwananchi Anapiga Simu Lakini Inaitaaa Haipokelewi

Msemaji Wa Serikali Ama Kurugenzi Ya Mawasiliano Ikulu Ya Chamwino
Ije Hadharani Kutoa Ufafanuzi Laa Sivyo Number Hizo Zifutwe Kwenye Nyaraka Za Serikali
Ni taasisi zote za Umma hawapokei simu wala hawajibu email
 
Back
Top Bottom