simu za kutouch!

simu za kutouch!

mi narudi zangu kwenye nokia ya tochi maana ninatoa matusi bila sababu mie

Yaani kweli kabisa Smile Hizi simu za touch ukijumlisha na autocorrect kwenye maneno ya kiswahili!!
 
Last edited by a moderator:
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana

usinikumbushe ya autocorrect
 
Nilinunua simu ya kutachi..nikawa na mpango wa kuacha kutumia yenye keypads..nilichoka mwanzo tu nilipoanza kufanya preliminary settings..kila nikigusa kinakuja kingine.
 
We acha ni majanga. Nimelazimika kujua japo naandika maneno mbovu mbovu hadi aibu mweee.
 
Nilinunua simu ya kutachi..nikawa na mpango wa kuacha kutumia yenye keypads..nilichoka mwanzo tu nilipoanza kufanya preliminary settings..kila nikigusa kinakuja kingine.

Yani nachoka hadi basi mana wengine watu muhimu sana
 
Yani nachoka hadi basi mana wengine watu muhimu sana

Pole,ni mwanzo utazoea tu,ondoa autocorrect na simu nyingi tachi zina help ya namna kidole gani kiguse herufi gani.
 
Back
Top Bottom