Simu za bei nafuu zenye kamera kali (2023)

Simu za bei nafuu zenye kamera kali (2023)

True yaji nimeamua nisiirudushe tu maana sasa nb8kama namsum ua mwenye duka. Kumbe olitakiwa ni test kila kitu pale pske kabla sijatoa hela.
Imekula kwangu. Nimeifurahia kamera tu na audio system yake ni nzuri sana ila mtandao ndio hivyo tena.
una kila sababu ya kubadilisha simu aiseee
 
True yaji nimeamua nisiirudushe tu maana sasa nb8kama namsum ua mwenye duka. Kumbe olitakiwa ni test kila kitu pale pske kabla sijatoa hela.
Imekula kwangu. Nimeifurahia kamera tu na audio system yake ni nzuri sana ila mtandao ndio hivyo tena.
Haisomi line
 
Chukua mzigo uo apo
Screenshot_20230930-221912~2.jpg
 
Hivi kwa nini wabongo tunapenda "vitu vizuri" kwa bei ndogo

Yaani simu yenye details nyingi na Performance kubwa upate kwa bei chee (low budget)??

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Si kwamba haiwezekani kaka,ndio maana tukataja pixel.

Kwa bajeti ya chini ya lakinl 5 hakuna simu yoyote itakupa picha ya kuridhisha zaidi ya pixel 5.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom