iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,149
- 9,969
Kuanzia pixel 5 kwenda juu zinajitahid ukaaji chaji, chini ya hapo ni zinakaa masaa kama ukiwa mtumiaji wa internet sana au kutazama videos... Pixels hasa hizi mtumba na refurb sio za kutumia kama main daily drive, just inunue kama backup phone kwa ajili ya picha na mambo mengne ya kawaida...Nakubali
Lakini mbona baadhi ya watumiaji wanazilalamikia upande wa battery sio kuridhisha?
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app