Simu za Pixel zina Camera nzuri ila hazisifiki kwa ukaaji chaji, kama ukaaji chaji sio shida pixel 6/6A unapata around laki 8 hivi kwenye sale mpya.Asante mtaalam kwa kuja. Kwa sasa sijali suala la bajeti bali ubora tuu. Maana nishanunua sana. Nikipata machaguo mawili au matatu nitachagua Mwenyewe.
Thank you in advance.
Asante sana kwa mawazo yako nashukuru.Muda mwingine unaweza kuwa na kitu kizuri ila ukashindwa namna bora ya kupata picha nzuri.
Kwangu mimi mpenzi wa samsung naona bora udake iphone 14 pro max hakika ukipiga portrait utanikumbuka.
Asante ndugu.Techno pop2 kiboko Yao![]()
Nunua Google pixel mkuu zipo vizurNaomba Msaada wa kitaalam ninunue simu gani yenye Camera Bora inayotoa picha za viwango Vya hali ya juu na isiyopiteza ubora wa picha haraka.
Lengo kuu ni shughuli za kibiashara ambazo asilimia 98 zinategemea picha.
Bajeti sio tatizo maana simu ndio jembe lenyewe linalotupa liziki.
Nashukuru mtaalam ila sijaelewa unapozungumzia hizo pixel. Inamaana simu nyingine KAMERA zake hazipimwi kwa pixel?? Natamani nijue walao simu mbili hivi zenye pixel ambazo ni nzuri.Simu za Pixel zina Camera nzuri ila hazisifiki kwa ukaaji chaji, kama ukaaji chaji sio shida pixel 6/6A unapata around laki 8 hivi kwenye sale mpya.
Pia flagship yoyote ile ina camera nzuri, ila flagship nyingi zinacheza around milioni 2 hadi 3 zikiwa mpya,
Unaweza tafuta used zake hizi refurb za kibongo sema nazo ni kubet utapata camera nzuri ila simu inaweza kuwa na matatizo mengine.
Okay pixel unamaanisha kampuni ya google??Simu za Pixel zina Camera nzuri ila hazisifiki kwa ukaaji chaji, kama ukaaji chaji sio shida pixel 6/6A unapata around laki 8 hivi kwenye sale mpya.
Pia flagship yoyote ile ina camera nzuri, ila flagship nyingi zinacheza around milioni 2 hadi 3 zikiwa mpya,
Unaweza tafuta used zake hizi refurb za kibongo sema nazo ni kubet utapata camera nzuri ila simu inaweza kuwa na matatizo mengine.
Ni kweli kabisa ndugu. Ukubwa wa hifadhi yake ni muhimu sana. Asante.Angalia pia na ukubwa wa store, hasa kama utakuwa unaitumia pia kwa video. 500 GB minimum.
Amandla...
Simu za Google zinaitwa Pixel.Okay pixel unamaanisha kampuni ya google??
Aisee inaonekana ni nzuri maana maoni kadhaa yameitaja hiyo simu. Asante sana kwa kunipa nguvu.Nunua Google pixel mkuu zipo vizur
Umeongezea kitu muhimu sana sana. Nashukuru kwa utaalam huu. Sikuwa najua utofauti.Kama ni biashara ya instagram ni iphone kuanzia 12 tu nimejaribu kutumia samsung s22 ila bado iphone zina uwezo mkubwa wa kutoa picha halisi na kudhibiti mwanga.Na hiyo ndio silaha kubwa ya instagram algorithm.
Ooh umenitoa ujinga ndugu. Nashukuru sana.Simu za Google zinaitwa Pixel.
Amandla...
Ahahaha aisee nashukuru ngoja nipambane nipate.Google pixel 7 pro,ila ujiandae na kama mln 2.5 hivi mkuu
Okay asante.Pixel 6,7 ...