joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,948
Habari zenu wana JamiiForums,
Niende kwenye mada moja kwa moja, unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni kwanini walifungia window phone?
Nakumbuka kuna kipindi nipo shule kuna ndugu yangu mmoja alikuwa na nokia lumia ilikuwa ni window phone enzi hizo zinasupport kila kitu aise alikuwa anasumbua kinoma mtaani pale
ilikuwa ni moja ya simu nilikuwa naitamani sana.
Lakini nilipokuja Zanzibar kuna mitumba ya vitu vingi sana kama simu, radio za aina mbali mbali, magari na kadhalika
Kuna chimbo nilibahatika kuona window phones nyingi wanaziuza hapo nilichukua moja inaitwa microsoft lumia
Sio siri simu ni ya muda sana lakini ipo bomba sana ina camera nzuri, stereo speaker, fast charging, storage 16gb na sehemu ya memory card, RAM 1, Display. Type, AMOLED
Halafu kitu cha pekee ni camera yake simu ni ya muda sana lakini ina camera ambayo kuna simu za kisasa hazifikii
ONA BAADHI YA PICHA ZA LUMIA