haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,832
- 4,627
Mkuu chifu mimi nina shida kwenye Jamii forums niki scroll down mpaka mwisho inakuja unfortunately jamiiforums has stopped afu ina back kwenda kwenye home toka nianze kutumia hii JF mpya.ina scroll? sababu kufunguka inafunguka