Simu yangu inanikatalia kudownload baadhi ya Apps

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,410
119,112
Habari wakuu,

Naomba mnisaidie kutatua hili kama linatatulika. Nina simu yangu model ya zamani kidogo inagoma kupakua baadhi ya app naambiwa 'your device isn't compatible with this version'.

Nawezaje kutatua hili tatizo?

Nimejaribu kufanya software update (katika kuhangaika kutafuta solution maana mimi si mtaalamu) nikaambiwa simu yangu iko modified siwezi kufanya hivyo.

Kwa kifupi simu yangu ilikuwa ipo locked (haisomi line yoyote) nilipeleka kwa fundi ikarekebishwa.
Msaada tafadhali

Update: Simu yangu ni s galaxy s4
 
Hiyo OS ni nini? Samahani kwa maswali
ni mfumo endeshi wa simu.... kama watumia Samsung, tecno, na simu zingine zote utakuwa watumia OS ya Android.

Program nyingi huacha kufanya kazi kama mfumo endeshi ni wa Zamani.
 
ni mfumo endeshi wa simu.... kama watumia Samsung, tecno, na simu zingine zote utakuwa watumia OS ya Android.

Program nyingi huacha kufanya kazi kama mfumo endeshi ni wa Zamani.
Oh thanks
 
Habari wakuu,
Naomba mnisaidie kutatua hili kama linatatulika. Nina simu yangu model ya zamani kidogo inagoma kupakua baadhi ya app naambiwa 'your device isn't compatible with this version'
Nawezaje kutatua hili tatizo?
Nimejaribu kufanya software update (katika kuhangaika kutafuta solution maana mimi si mtaalamu) nikaambiwa simu yangu iko modified siwezi kufanya hivyo.

Kwa kifupi simu yangu ilikuwa ipo locked (haisomi line yoyote) nilipeleka kwa fundi ikarekebishwa.
Msaada tafadhali
Acha kutumia techno unaniangusha swahiba
 
Kakojoe ulale
Sawa ngoja hayo ma vilamba mwiko yaendelee kukushushua hadi uulize kutokuwa na hela ni dhambi.. si dhambi ila ni kosa..😂

Ngoja wafumbuzi waje wakufumbulie hapo umekutana na kamati ya michambo..😅
 
Back
Top Bottom