Simu yangu ya Tecno inasumbua inaandika 'Google play has stopped'

Mimi simu yangu nikimpigia mtu inaandika hivi *conditional call forwarding active*
Hii ina maana gani? Kuulizia si ujinga jamani
Screenshot_20200708-131213_Call.jpg
 
Wana teknolojia hamjambo?

Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.

Naomba kuwasilisha.
Yangu ni techno pia imegoma kwny Google mail sisomi tena email via my Simu!Tafadhali nami naombeni msaada wakuu wangu
 
same with me, hii tecno camon11 inazingua hatari, ili crash os nikawarudishia tecno wakaweka os nyingine hapo ndipo shughuli ilipoanzia os sio stable tena, ina crash google, ina crash na kingine chochote itakacho kiona yenyewe. Siku nyingine ina stop hadi UI, hapo inaanza kuji restart... Nimesha factory reset zaidi ya mara 6, na haikubadi ku install updates anazotuma develover, hapa tunafanyeje wakuu mawazo yenu plz
Hamia Xiaomi kitu cha Sñapdragon hachana na hizo mtk za kiboya
hizi simu ni mchicha mwiba jamani,mbona hamtuelewi??

yaani kweli unaandaa laki 250k unaenda kununia tecno jamani
But kuna wachina wazuri wazuri kina xiaomi etc
 
Nilijua tu huu uzi watu wasipokandia Tecno sijui 😂. Yangu nlipoona inasumbua sumbua nikaamua kuiflash kumbe kuiflash ndo nimeiua mazima, nkaipasua nkampa mtoto achezee kama kigari.
 
Nilijua tu huu uzi watu wasipokandia Tecno sijui 😂. Yangu nlipoona inasumbua sumbua nikaamua kuiflash kumbe kuiflash ndo nimeiua mazima, nkaipasua nkampa mtoto achezee kama kigari.
Aisee
 
Back
Top Bottom