Simu yangu Tecno L8 haijai haraka, msaada tafadhali

Simu yangu Tecno L8 haijai haraka, msaada tafadhali

bei halisi ni shilingi 8000 watakuanzia juu kama 12,000 hivi so washushe.

kwenye lg g3 nafkiri charger za galaxy s5 zinaingiliana maana zilitumia soc moja, za s5 fast charging zipo nyingi sana ni vidogo vina meno mawili na juu vimeandikwa adaptive fast charging.
Asante sana mkuu
 
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.<br /><br />Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.<br /><br />Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
0ff4249d22c6e38186f3d4d681487778.jpg
Hahaaa
Yalinikuta nitumia l8lite pia,
Angalia pembeni karibu na chini,upnde wa kulia, kuna kambonyeo kadogo sana,kapo kati ya frem ya chini na inayoshika kioo,ingiza kucha utapata upenyo wa kufungua,ikizingua nambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
L8 ndugu inahitajika kutumia charger yake original,ukitumia charger nyingine haikubali,au uende maduka yanayouza charger ununue chanrger zenye 50/80hz na 500mA na sababu ni kuwa ina battery kubwa lenye 5050mAh.


Sony Z3
 
  • Thanks
Reactions: SIM
model ni oraimo

usiseme 2A charger manake hata hawatajua, ipo kama hivi angalia picha

3DoyYs0r.jpg
Mkuu kuna tecno w5 inajaa masaa matano inatumia charger ya tecno yenye 2Amp ko hizi hazina fast charger mkuu angalau ijae upesi
 
Mkuu kuna tecno w5 inajaa masaa matano inatumia charger ya tecno yenye 2Amp ko hizi hazina fast charger mkuu angalau ijae upesi
kuandikwa nje kwenye kichwa kwamba ni 2A hakumaanishi kwamba kweli ni 2A. ingia playstore kisha download app ya ampere uhakikishe kama kweli inakupa hizo 2000mA au karibu na hapo.
 
Hilo tatizo nilikuwa nalo kweny Tecno J8 nimebadili usb natumia ya kichina. Sshivi n chaji masaa mawili t inajaa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Angalia Current Rating Ya Battery itakuongoza ni charger gani utumie
 
Nime
si unaona sasa mkuu, hio ni 0.49A haijafika hata robo ya hio 2A,

charger au cable itakuwa na.matatizo, jaribu waya mwengine au jaribu kutumia chaja hio kwenye simu nyengine kama utaona utofauti.
Nimejaribu cable nyingine inaenda hivi
Screenshot_20170803-122839.png
Screenshot_20170803-122948.png
 
basi kutakuwa na tatizo mkuu labda waya umelegea pale pa kuchomekea kwenye kichwa, au chaja si nzuri etc
Sawa mkuu unaweza nisaidia site ya kupakua hizi games gta san andrea na pes2012 ya msimu ulopita!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom