Simu yangu inapungua charge badala ya kuongezeka

Simu yangu inapungua charge badala ya kuongezeka

Nenda kabadili system charger hamna zaid ya hiyo shida cost haizidi 15000
 
Nenda kabadili system charger hamna zaid ya hiyo shida cost haizidi 15000
Nimeenda huko kwa fundi wamesema 20k...lakini naona saiv charge inapanda so ntaangalia Hadi Kesho inshaAllah
 
Kariakoo Pale Wapo Customers Care Wa Tecno/Postal Jengo La Vipo La NHC
***********************************
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Mjifunze Kuchagua!!!
 
Back
Top Bottom