Naona aibu kuuliza hiyo simu kampuni gani[emoji85][emoji85]
Betri hilo limefika mda wake wa marumizi badilishaTecno mkuuu.... Ndo simu nayoweza afford kwasasa
Kabla ya betri badilisha charge yake kwanza nayo inaweza changiaTecno mkuuu.... Ndo simu nayoweza afford kwasasa
Hilo ni swala la charger sana sana wala sio androidObvious hiyo itakuwa Android no offense [emoji28]
kabadili charger systemHabari,
Simu yangu usiku kucha imeingie 46% baad ya kuicharge.
Nakika nikicharge inashuka asilimia badalaa ya kuongezeka.
Jen shida itakuwa nini?
Msaada wenu tafadhali
Njoo nikupatia simu mpya.. kabisa. Ili kuepukuna na hiyo kadhiaHabari,
Simu yangu usiku kucha imeingia 46% baada ya kuicharge.
Na kila nikicharge inashuka asilimia badala ya kuongezeka.
Je shida itakuwa nini?
Msaada wenu tafadhali
Simu ya android ikoje ?Obvious hiyo itakuwa Android no offense [emoji28]