Simu Yangu Inagoma kushika 3G

BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
2,000
Wakuu habari za leo,
Nna simu hapa LG K7 ambayo ilikuwa ikitumika USA na 4G ikawa inafanya. Sasa hapa Tanzania pamoja na kukubali kushika network za simu kama kawaida internet inakamata 2G tu kuna namna ya kufanya?
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,711
2,000
Na mimi nina tatizo hilo hilo nina, huawei mediapad model number T1- 701u!! shida yenyewe inajisikia raha ikiwa kwenye 2G ila uki switch kwenye 3G only pale kwenye network bar inaonesha alama ya X , ila ukija kwenye network operators kwenye settings inaonesha mtandao!! ila shida haisomi kwenye network bar
 
BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
2,000
peleka kwa mafundi wanaofanya unlocking, hizo ndio kazi zao.
Kwa hapo Dar inaweza kufanyika kwa sh. ngapi hivii. Samahani mkuu maana nataka kuinunua sasa nisjenikajiumiza nataka nijumlishe na gharama za ku unlock kabisa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,718
2,000
Kwa hapo Dar inaweza kufanyika kwa sh. ngapi hivii. Samahani mkuu maana nataka kuinunua sasa nisjenikajiumiza nataka nijumlishe na gharama za ku unlock kabisa
kama hujainunua kuwa makini, au achana nayo kabisa, hilo ni tatizo moja tu pengine ina matatizo mengi. si busara kununua simu za T-mobile, sprint, verizon etcbei sifahamu, mpaka uonane na wahusika.
 
BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
2,000
kama hujainunua kuwa makini, au achana nayo kabisa, hilo ni tatizo moja tu pengine ina matatizo mengi. si busara kununua simu za T-mobile, sprint, verizon etcbei sifahamu, mpaka uonane na wahusika.

Ahsante kwa ushauri
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,346
2,000
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwjHueL8robYAhXEVxQKHaq3BB0QFggkMAA&url=https://support.t-mobile.com/docs/DOC-30613&usg=AOvVaw0WElp1UhU3gC7A416mbbrf
Manual network selection
The device detects and registers on wireless networks inside T-Mobile’s calling area, but roaming networks are usually restricted to T-Mobile SIM cards. You can manually select a network only in areas where T-Mobile does not own GSM spectrum.kazi ni kwako 1. From any home screen, tap Apps.
 2. Tap Settings.
 3. On the Networks tab, tap More. (If using List view, under the 'WIRELESS NETWORKS' heading, tap More.)
 4. Tap Mobile networks.
 5. Tap Network operators.
 6. Tap Search networks.
 7. The phone searches for networks. This takes several minutes.
 8. Tap to select the desired network. The phone registers you on that network.

Switch 2G / 4G
 1. From any Home screen, tap Apps.
 2. Tap Settings.
 3. On the Networks tab, tap More. (If using List view, under the 'WIRELESS NETWORKS' heading, tap More.)
 4. Tap Mobile networks.
 5. Tap Network mode.
 6. Tap one of the following desired band settings:
  • GSM< / WCDMA/ LTE (auto connect) (LTE setting)
  • GSM / WCDMA (auto connect)
  • WCDMA only
  • GSM only (2G only setting)

Turn on / off airplane mode
Airplane mode turns off wireless connections. This allows app and menu use, but prevents voice or Internet use. 1. From any home screen, tap Apps.
 2. Tap Settings.
 3. Tap the Airplane mode switch to turn it on or off.

Turn on / off data roaming
 1. From any home screen, tap Apps.
 2. Tap Settings.
 3. On the Networks tab, tap More.(If using List view, under the 'WIRELESS NETWORKS' heading, tap More.)
 4. Tap Mobile networks.
 5. Tap to select the Data roaming check box.

Turn on / off mobile data
 1. From any home screen, tap Apps.
 2. Tap Settings.
 3. Slide the Mobile dataswitch to ON/OFF.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,418
2,000
Kwa hapo Dar inaweza kufanyika kwa sh. ngapi hivii. Samahani mkuu maana nataka kuinunua sasa nisjenikajiumiza nataka nijumlishe na gharama za ku unlock kabisa
Kumbe hata kununua bado, sasa mbona pale juu umeandika una LG na haipigi mzigo...

Ishu ni kuwa version ya simu yako haijaundwa kutumia masafa ya LTE kulingana na masafa yanayoruhusiwa TZ na TCRA...

Hivyo endelea kutumia 2G au 3G, otherwise fanya kutafuta watundu waondoe lock...
 
BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
2,000
Kumbe hata kununua bado, sasa mbona pale juu umeandika una LG na haipigi mzigo...

Ishu ni kuwa version ya simu yako haijaundwa kutumia masafa ya LTE kulingana na masafa yanayoruhusiwa TZ na TCRA...

Hivyo endelea kutumia 2G au 3G, otherwise fanya kutafuta watundu waondoe lock...

Mkuu Watu nane mwenye hii simu imemsumbua kwenye net so ndio ameinipa nihangaike nayo kwenye net ikifaa nimpe laki. Line inasoma kama kawa ila sasa net ndio inaishi 2g. ndio nafanya ustaarabu hapa nione kama italipa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom