Habari zenu wakuu..
Natumia samsung galaxy s2..
Nikiweka laini inaandika emergency calls only,yani haisomi lakini ukiingia kwenye contacts majina yaliyopo kwenye lain yanaonekana..
Na pia ina tatzo lingne yaan screen inakua ina mistari mistari flani hivi..
Picha hyo hapo chini,naombeni mnisaidie..