Simu yangu ina tatizo gani?

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
3,483
12,091
Asubuhi ya leo nimeikuta hivi
18b979059d195bd2df9e184dae6ca59a.jpg
 
Kweli mchina kawashika wengi,yaani wewe ulipoona imeandikwa Nokia tena kwa elfu20 ukanunua fasta,pole sana vya bei rahisi vina madhara.
Nilijitamba sana na kujua mtaa mzima utazimiwa lakini mimi nitabaki sababu nina brand ya kueleweka tena ya mwanzo mwanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom