simu yangu haisupport frash player nifanyeje

simu yangu haisupport frash player nifanyeje

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
simu yangu ni Samsung galax model number ni 15800. Tatizo ninapotaka kuangalia baadhi ya ninaambiwa lazima iwe na frash player na nikijaribu kuidownload naambiwa 'sory your device does not support frash player'. Naombeni msaads wenu
 
Kwa sababu ya udogo wa processor ya hiyo simu haikuwahi kuwa supported kucheza flash. Na adobe wameacha kussuport flash kwa mobile devices siku hizi.
 
mkuu labda ungesema ulitaka ufanye nini ungeweza pewa alternative kama ipo.

Sasa ni zama za html5 hamia huku kwetuuuuu
 
Back
Top Bottom