Simu yagoma kuwaka baada ya kuinstall custom ROM

Simu yagoma kuwaka baada ya kuinstall custom ROM

Wakuu naomba msaada tablet yangu ya tecno inawaka halafu ina display to tecno halafu inazima nikiichomeka kwenye pc inagoma hata pc yangu haiditect
 
Wakuu naomba msaada tablet yangu ya tecno inawaka halafu ina display to tecno halafu inazima nikiichomeka kwenye pc inagoma hata pc yangu haiditect

wipe cache na user data then reboot
 
Hata nikii format mkuu inabak na ukubwa ule ule (yaan gb3)

una pc? jaribu software za kufanyia partition kama mini tool partition wizard halafu uitoe hio partition ili uweze kurecover hio storage
 
Back
Top Bottom