Msaada jamani jinsi ya kuroot Samsung A02 na kuiwekea custom roms nzuri

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,074
1,706
Habar za asubuhi wakuu,

kama kicha cha habari hapo juu kinavyojieleza, mara kwa mara nimekuwa nikisoma mabandiko ya watu humu jukwaani yakielezea uzuri na upekee wa simu zilizokuwa rooted na kuwekwa custom rom lakini kwa bahati mbaya sijajua ni kwa namna gani na mimi naweza nika root & kuiwekea custom rom simu yangu ambayo ni samsung A02.

Hivyo kwa mwenye uwelewa mpana naomba anielekeze ni jins gani naweza nika root na kuinstal iyo custom rom, humu jukwaan zipo uzi ambazo zimeelekeza ila nimeshindwa kuzifuatilia sababu sijajua ni rooter gan ambayo naweza nikaitumia kwenye simu yangu kwaiyo mwenye kujua ni rooter gani na procedure za kufuata ili niweze kuroot naomba anielekeze.

Chief nishushie nondo kaka
 
Hapo pambana unlock bootloader nenda youtube utakutana na video zitakazo kuelekeza namna ya ku unlock, ndiyo cha msingi hapo, ukishamaliza hapo yalobakia sijui kuweka custom ROM ni simple sana.
 
me ndo nmeambiwa hivyo nmejaribu kila aina ya prog mfano kingroot, kingoroot, iroot,framaroot,rootmaster,magisk lkn wapi anaejua namna ya kuroot anisaidie wazee
Screenshot_20220324-135122.jpg
 
Back
Top Bottom