Inawezekana ikawa ya SIMIYU YETU au IFWEERO
Kaapfo mpora!
Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".
Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI
NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
he he he, afu namba yangu nimesajili Hamis A. Juma.
!
!
hakuna haja ya kuoa kwa sababu hakuna kilicho ndani ya ndoa ambacho nje hakipo, ila vipo vingi nje ambavyo ndani havipo.
All in all natamani ingekuwa mimi ndio kaniletea huo udambu udambu mbona ningemshikisha adabu.....nimgemtengeneza mpaka akinikumbuka atamani kutapika,ningemuektia bonge la series ambalo producer na sterling ningekuwa mie mwenyewe lingeitwa "paybacktime kwa ma@nina bladful kenge manyoya"
Hawa mbwiga wanasumbua sana siku hizi mkuu, ndio maana hawaolewi, list ya wagongaji imekuwa kubwa kuliko list ya waoaji, mpaka mwanaume anatoa mahari anaoa, anakuhudumia kwa kila kitu bado unaleta ubazazi, lol!
mapenzi ya sasa hivi ruksa kushikana ila sio kushikiana simu
fid q
Hahaa hii nimeipenda...
new song ya fid q ndipo nimeuchomoa huo mstari
Wana JF leo
nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo
ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo
aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi
nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa
"mmewangu".
Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK
PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI
NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
kuna mshenzi mmoja, yeye
ckumgundua kua ana mtu, ila alikua anaonesha dharau na kushindwa
kutofautisha kati ya ndoa na mahsiano ya kishenzi
nliperemba na kmvutia kasi kw miezi kama 6 ivi, kila nkimvumilia kumueka
sawa anazidisha, anafkiria kua nashindwa kutake action.
aiseee siku nlipomuamulia nlimtia mikonono, nlimshikisha adabu
kudadeki hansahau maisha yke, mana nlimsagasaga asirudie upuuzi wake ata
kwa mwanaume mwingine,
nmemuachia kovu la maisha ili akumbuke kua m.mme c wakuchezea, akichoka
na m.mme mwambie aafu sepa, sio kumfanyia vitimbi, utaumizwaaa
Mwili hadi umenisisimuka duh kuna watu wana hatarii??