Simu ya RAIS

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,425
Nimeipenda sana, hana mbwembwe wala ubitozi
 
Attachments

  • simu ya rais.jpg
    simu ya rais.jpg
    16.3 KB · Views: 87
Kwa hiyo haingii JF kama mtangulizi wake?! Nadhani vijana wake wako humu kumpa taarifa/maoni mbalimbali.
 
Wasukuma bhana.. Dah!!!!.. Janjarukeni bassi hata kidogo... Zile kwenye smartphone ni Emoji hazing'ati wala hazinunuliwi kusema zitawamalizia hela.. Hahaha
 
ni simu ya yule mama aliyekuwa anashona hapo. kwani ukiangalia ile video toka yule mama anaongea na rais hiyo simu ipo hapo
 
Hiyo simu ni ya mshonaji wa ikulu sio ya rais!!
Nilifikiri watumishi wa ikulu huwa wana vipato Fulani standard ambavyo vinawawezesha kuishi maisha ya ngazi ya kati. Hata hii simu haina hadhi ya mtumishi yeyote wa ikulu hata mfagizi!! labda aipende kwa namna inavyotunza chaji.
 
Umemuona huyo mtu mwenyewe wa ikulu?inamfaa kabisa ni watu wasio na kuringa na gadgets.
 
Nilifikiri watumishi wa ikulu huwa wana vipato Fulani standard ambavyo vinawawezesha kuishi maisha ya ngazi ya kati. Hata hii simu haina hadhi ya mtumishi yeyote wa ikulu hata mfagizi!! labda aipende kwa namna inavyotunza chaji.
Hata ukiangalia kwenye video wanaonekana wana wasiwasi hata alipowauliza mko wangapi!!!!
 
Back
Top Bottom