akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
Issue ni pale unapoona mwenza amehisha mapenzi kwenye simu. Mtu yupo bize na simu hadi inaboa, so hapo lazima mtu atakuwa na doubts, na kujaribu kufanya "uchunguzi yakinifu".Hbr yenu wakuu
Nawaalika tujadili kwa pamoja kama ni vyema Mke na mume kukaguana simu.
Nijuavyo Mimi simu ya kiganjani ni Mali binafsi kwa matumizi binafsi na haipaswi kutazamwa na mtu asiye mmliki pasi ya ruhusa ya mmiliki.
Wewe unasemaje?
Sent from my iPhone using JamiiForums app