Simu ya kiganjani

Simu ya kiganjani

Ukiendekeza sana upekuzi utakufa kwa pressure by the way kila mmoja ana privacy zake
 
Attachments

  • 1400340879590.jpg
    1400340879590.jpg
    11.4 KB · Views: 98
Hbr yenu wakuu
Nawaalika tujadili kwa pamoja kama ni vyema Mke na mume kukaguana simu.
Nijuavyo Mimi simu ya kiganjani ni Mali binafsi kwa matumizi binafsi na haipaswi kutazamwa na mtu asiye mmliki pasi ya ruhusa ya mmiliki.
Wewe unasemaje?
Hata iweje siwezi kuacha kukagua simu ya bebi mimi...
 
Omba ruhusa kabla ya zoezi. Ndio maana hata polisi huwa na search warrant kwa kazi km hiyoo
Aaaaah wapi wewe hiyo ni suprise, hajui ni lini wala sa ngapi nitaishika
eti niombe ruhusa nani kasema
 
Simu yangu siweki password, ila nikikukuta unapekua ni kesi. Haijalishi wewe ni nani.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
mkifutliiana mpaka kwenye cm hakika hata kama mnapendana hamwezi kudumu ktk uhusiano kwanza ni wivu wa kijinga utaishia kuumizwa tuu
 
mkifutliiana mpaka kwenye cm hakika hata kama mnapendana hamwezi kudumu ktk uhusiano kwanza ni wivu wa kijinga utaishia kuumizwa tuu

Kweli kbs mkuuuu
 
Sijambo jema kukagua simu ya mtu/mpenzi/mume. lakini mara nyingi mtu anajengewa dhamira ya kukagua hata kama alikuwa hapendi. unakuta mume/mke/mpenzi simu ikiita anakimbia kuongelea nje,au akiongelea ndani anagugumia kama amebanwa na kitu,simu imejaa password kila eneo, usiku simu zake zote zimezimwa.lazima mwenza atataka kujua kuna nini kwenye simu maana mwenye simu amejenga mazingira. binafsi bora nipate presha lakini nijue naishi na mtu wa aina gani. Siwezi jifanya namuamini hali dalili za kutokuwepo uaminifu zinaonekana wazi.
 
Sio wanawake hat wanaume pia na kumbuka baba ndo kichwa cha familia

Ndoa siku hizi nyingi ni jina tuu kila mtu ana yake na usiri wake

Kikubwa kama unaona mwenzio anafanya Yale majukumu yake hakuna dalili za michepuko mshukuru Mungu na usipekue simu yake cos unaweza haribu furaha yako ya maisha
Na kama ni hawara au mchepuko usijaribu kupekua kabisa utaweza kupoteza maisha

Absolutely, usitake tabu kumbuka raha unajipa mwenyewe.
 
mkifutliiana mpaka kwenye cm hakika hata kama mnapendana hamwezi kudumu ktk uhusiano kwanza ni wivu wa kijinga utaishia kuumizwa tuu

Kama simu ya mpenzi wako imejaa mambo ya kukuumiza ni wazi hakupendi. So, hata usipochunguza kuna siku hayo ya kukuumiza yatakuja machoni kwako kwa njia nyingine,na utaumizwa tu.
 
Sijambo jema kukagua simu ya mtu/mpenzi/mume. lakini mara nyingi mtu anajengewa dhamira ya kukagua hata kama alikuwa hapendi. unakuta mume/mke/mpenzi simu ikiita anakimbia kuongelea nje,au akiongelea ndani anagugumia kama amebanwa na kitu,simu imejaa password kila eneo, usiku simu zake zote zimezimwa.lazima mwenza atataka kujua kuna nini kwenye simu maana mwenye simu amejenga mazingira. binafsi bora nipate presha lakini nijue naishi na mtu wa aina gani. Siwezi jifanya namuamini hali dalili za kutokuwepo uaminifu zinaonekana wazi.

Omba ruhusa ya kukagua please. Omba password
 
Omba ruhusa ya kukagua please. Omba password
Ukiomba unapewa baada ya sms zote kufutwa na calls kufutwa. ukiweza kufanya timing nzuri ukaingia unakutana na madudu mengi ya kutisha, kwangu mimi ni heri maana nitakuwa nimemjua mwenza wangu yupoje na niishi nae vipi.
 
Kwanini uolewe nae humjui? Akifuta kabla hujaona anakujali. Hataki kukuumiza
 
Back
Top Bottom