Simu ya kiganjani

Simu ya kiganjani

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Hbr yenu wakuu
Nawaalika tujadili kwa pamoja kama ni vyema Mke na mume kukaguana simu.
Nijuavyo Mimi simu ya kiganjani ni Mali binafsi kwa matumizi binafsi na haipaswi kutazamwa na mtu asiye mmliki pasi ya ruhusa ya mmiliki.
Wewe unasemaje?
 
Attachments

  • 1400334013702.jpg
    1400334013702.jpg
    15.3 KB · Views: 449
Uzi unajirudia huu

Simu ya kiganjani unaipekua ya nn
Kama una moyo wa kupambana pekua
 
Tanzania unakuta mtu yupo ktk ndoa ana michepuko mitano kati ya hiyo miwili nayo ipo ktk ndoa ukija fuatilia michepuko ya hao wengine pia utaona bora kusiwe na ndoa maana utulivu ni sifuri.

Pressure pressure................., rudi kwenye mada mkuu
 
Uzi unajirudia huu

Simu ya kiganjani unaipekua ya nn
Kama una moyo wa kupambana pekua

Nipe linki nifuatilie plz. Nataka jua mawazo ya wapendwa ktk hili
 
Kwa Mume na Mke nafikiri ni bora zaidi muwe na makubaliano tokea awali sababu ni mmeshakuwa kitu kimoja sioni sababu ya kufichana.

Lakini kwa wale walio nje ya ndoa(wakiwemo michepuko,wapenzi nk) kupekuana ni kutafutiana ugonjwa wa moyo.

Ila ukumbuke pia kupekua kitu cha mtu bila ya idhini yake kwa kweli si heshima
 
Kwa sasa itakuwa ngumu cos ya kisimu nachotumia
Wadau watakupa maoni

Ila kukagua simu ya mke/mpenz ni presha
Jipange kwa lolote utakalokuta simu Sina mambo sana ndo mana weng wanaweka password
 
Kwa Mume na Mke nafikiri ni bora zaidi muwe na makubaliano tokea awali sababu ni mmeshakuwa kitu kimoja sioni sababu ya kufichana.

Lakini kwa wale walio nje ya ndoa(wakiwemo michepuko,wapenzi nk) kupekuana ni kutafutiana ugonjwa wa moyo.

Ila ukumbuke pia kupekua kitu cha mtu bila ya idhini yake kwa kweli si heshima

Maridhiano ni msingi mzuri wa hili. Kuomba ruhusa yaonesha kujali pia.
 
Hbr yenu wakuu
Nawaalika tujadili kwa pamoja kama ni vyema Mke na mume kukaguana simu.
Nijuavyo Mimi simu ya kiganjani ni Mali binafsi kwa matumizi binafsi na haipaswi kutazamwa na mtu asiye mmliki pasi ya ruhusa ya mmiliki.
Wewe unasemaje?

ni vema kupekua unachoficha ni nini kwa mkeo/mmeo. mmshakuwa mwili mmoja.
 
basi we mnafiki tu

Sio ivo, anataka Uhuru gani? Anapaswa kuomba ruhusa kuitazama simu yako. Like "samahani Mme/Mke wangu, naweza tazama au tumia simu yako kwa muda huu"?
 
Umenena mkuu
 
Kwa Mume na Mke nafikiri ni bora zaidi muwe na makubaliano tokea awali sababu ni mmeshakuwa kitu kimoja sioni sababu ya kufichana.

Lakini kwa wale walio nje ya ndoa(wakiwemo michepuko,wapenzi nk) kupekuana ni kutafutiana ugonjwa wa moyo.

Ila ukumbuke pia kupekua kitu cha mtu bila ya idhini yake kwa kweli si heshima

Kwa ndoa za siku hizi zimekuwa na michepuko ming

Watu sii waaminifu...tabia za zimebadilika kila mtu anapenda usiri kwa maana sii waamifu
Na hili ni tatizo ule upendo na kusema tuu mwili mmoja kwa ndoa nyingi ni uongo
 
Back
Top Bottom