Simu kali zimesimama ile mbayaa bei sawa sawa na buree

Simu kali zimesimama ile mbayaa bei sawa sawa na buree

Samsung galaxy core advance bei 20000
galaxy grand 2 bei 300000
galaxy grand max bei 350000
huawei y6 bei 300000
lg x400 bei 530000
samsung s7 edger bei 850000
iphone 6 plus bei 900000
Natafuta huawei gr 3
 
Cio siri itakuwa ulikuwa unajifunza ku upload picha jf
 
Samahini mkuu,bei ni
S6 plain 520k 32gb
S6edge 620k,s6edge + 720k(32gb),iphone6s 850k 16gb,iphone6s+ 1.050M 16gb
Huo ni mzigo ambao ukostock nyumbani
Lakini ukihitaji simu yoyote nitafute
520k ndio nini?
 
Jamiiforums Kila Siku Watu Wanasisitizwa Kuweka Sifa Za Bidhaa Yako Hapo Hapo Bei Elekezi Ikiwezekana Unaweza Kuweka Bei Kikomo

Sasa Watu Wanauliza Bei Unawapa Number Yako Ya Kazi Gani Sasa Ama Wewe Ni Kitomari?
Yaani Mtu Ahangaike Kukupigia Wakati Japo Rahisi Kwenye Thread Ungetaja Bei

Simpigii maana wenye Maduka ya simu nawafahamu wengi na simu nazifahamu ni Bora angeweka bei za simu akaacha hata hayo mapicha ingependeza kabisa....
 
Simpigii maana wenye Maduka ya simu nawafahamu wengi na simu nazifahamu ni Bora angeweka bei za simu akaacha hata hayo mapicha ingependeza kabisa....
Samahini mkuu,bei ni
S6 plain 520k 32gb
S6edge 620k,s6edge + 720k(32gb),iphone6s 850k 16gb,iphone6s+ 1.050M 16gb
Huo ni mzigo ambao ukostock nyumbani
Lakini ukihitaji simu yoyote nitafute
 
Samahini mkuu,bei ni
S6 plain 520k 32gb
S6edge 620k,s6edge + 720k(32gb),iphone6s 850k 16gb,iphone6s+ 1.050M 16gb
Huo ni mzigo ambao ukostock nyumbani
Lakini ukihitaji simu yoyote nitafute

Kwa kweli hapo umeonyesha usikivu na unastahili kuungwa mkono....Bei sio mbaya[emoji4]
 
Back
Top Bottom