Simu kali zimesimama ile mbayaa bei sawa sawa na buree

Simu kali zimesimama ile mbayaa bei sawa sawa na buree

Jamiiforums Kila Siku Watu Wanasisitizwa Kuweka Sifa Za Bidhaa Yako Hapo Hapo Bei Elekezi Ikiwezekana Unaweza Kuweka Bei Kikomo


Sasa Watu Wanauliza Bei Unawapa Number Yako Ya Kazi Gani Sasa Ama Wewe Ni Kitomari?
Yaani Mtu Ahangaike Kukupigia Wakati Japo Rahisi Kwenye Thread Ungetaja Bei
Daaah kitomari tenaa
 
Wewe niulize hipi unahitaji nikupe bei kuna ya kuanzia 250000 mpaka 900000 kiongoz
weka bei ya kila simu tutathmini
mifukoni mwetu sasa tangazo lako zuri, bidhaa haina bei
 
Samsung galaxy core advance bei 20000
galaxy grand 2 bei 300000
galaxy grand max bei 350000
huawei y6 bei 300000
lg x400 bei 530000
samsung s7 edger bei 850000
iphone 6 plus bei 900000
 
Nataka Nokia torch na bei ya bure kama nitweza miliki
 
Back
Top Bottom