Siku ingine ukiwa na bidhaa weka wazi bei hapo hapo banaaYaaap
motorollaUnataka simu ya aina gani
Unayo A5(2017)?Nipe na bei tafadhalSamsung galaxy core advance bei 20000
galaxy grand 2 bei 300000
galaxy grand max bei 350000
huawei y6 bei 300000
lg x400 bei 530000
samsung s7 edger bei 850000
iphone 6 plus bei 900000
safi mungu akubarikiSamsung galaxy core advance bei 20000
galaxy grand 2 bei 300000
galaxy grand max bei 350000
huawei y6 bei 300000
lg x400 bei 530000
samsung s7 edger bei 850000
iphone 6 plus bei 900000
Nilisahau boss samahani kwa usumbufuZa bure nini mbona bei hamuna
Nilijisahau kuweka bei mkuu samahani kwa usumbufu,Mods ondosheni vitu kama hivi havieleweki
Hiyo ni s6 edge boss,nilisahau kuweka bei yan nimepata shidah kweli samahani pia kwa usumbufu,Bei ni kujipimia...nataka hiyo Samsung yenye kioo kilichojikunja..curved...nina 100k..upo wap niijie?
Nilijisahau wakati wa uandishi wa advert yangu boss,simu zote zimelipiwa ushuru,Sasa kuna faida gani utaipata kama bei ni sawa na bure?au umekwepa kulipia ushuru?
S6 plain 520k 32gbSawa
Nilijisahau mkuu wkt wa uandishi wa tangazo langu samahani kwa usumbufu uliojitokeza.Jamiiforums Kila Siku Watu Wanasisitizwa Kuweka Sifa Za Bidhaa Yako Hapo Hapo Bei Elekezi Ikiwezekana Unaweza Kuweka Bei Kikomo
Sasa Watu Wanauliza Bei Unawapa Number Yako Ya Kazi Gani Sasa Ama Wewe Ni Kitomari?
Yaani Mtu Ahangaike Kukupigia Wakati Japo Rahisi Kwenye Thread Ungetaja Bei
Lugha yako kali boss,lakini na heshimu hisia zako,nikujisahau tu na ugeni jamvini,hili halitojirudia bosskutokutaja bei ni upanya kauzie sebuleni kwako basi.
S6 plain 520k 32gbSimu gani kiongoz
Iphone 6s + 1.050M brand new,nichek 0626518320900000
0625518320900000