SIMU JANJA : Budget Tshs 400,000/= mpaka 500,000/=

Baraker_88

Member
Nov 7, 2021
35
88
Habari wadau, nataka kumnunulia mtu simu janja, mwenye uzoefu wa simu janja nzuri kuanzia uwezo mzuri wa camera, ukubw RAM/ROM, na kukaa na chaji naomba anishauri simu ipi naweza kununua!
Isiwe Tecno/Infinix

Budget yangu about Tshs 500,000/=
Naomba kuwasilisha
 
Nipe 170k chukua hii inakaa na chaji masaa 12View attachment 2153020View attachment 2153021View attachment 2153022View attachment 2153023
20220212_162308.jpg
 
Habari wadau, nataka kumnunulia mtu simu janja, mwenye uzoefu wa simu janja nzuri kuanzia uwezo mzuri wa camera, ukubw RAM/ROM, na kukaa na chaji naomba anishauri simu ipi naweza kununua!
Isiwe Tecno/Infinix

Budget yangu about Tshs 500,000/=
Naomba kuwasilisha
Nenda Kwenye Hili Duka Kama Upo Dar Es Salaam 0746490000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom