umeenda nje ya maelezo, unaposema niweke pembeni bajeti inamaanisha ww ndo unanipangia bajeti yangu, mm nimekupa bajeti yangu mkuu na nikakuomba unapochangia mawazo changia ukitazama bajeti yangu pia. Anyway asante kwa mchango wakoPixel 10pro. Ukisema nzuri mambo ya bajeti weka pembeni
Powaa ila ukweli ni kwamba unataka kitu kimoja chanye sifa mbili kitu ambacho ni ngumu.simu nzuri kwa bei kitonga..umeenda nje ya maelezo, unaposema niweke pembeni bajeti inamaanisha ww ndo unanipangia bajeti yangu, mm nimekupa bajeti yangu mkuu na nikakuomba unapochangia mawazo changia ukitazama bajeti yangu pia. Anyway asante kwa mchango wako
Milioni 1.3 sio bei kitonga, simu zenye kamera nzuri kwa bei hiyo zipo nyingi kutoka kwa kampuni nyingi tuPowaa ila ukweli ni kwamba unataka kitu kimoja chanye sifa mbili kitu ambacho ni ngumu.simu nzuri kwa bei kitonga..
SawaMilioni 1.3 sio bei kitonga, simu zenye kamera nzuri kwa bei hiyo zipo nyingi kutoka kwa kampuni nyingi tu
Mfano Xiaomi 15T, Xiaomi 15T Pro na Samsung Galaxy S24 FE zote zinarange bei hiyo na zina kamera nzuri. Na sio hizo tu, simu zipo nyingi zaidi ya hapo kutoka kwa makampuni mengine. Kwa hiyo usimdanganye mwenzako, hela yake inatosha sana
asante kwa ufafanuz1. Chukua Pixel Pro kuanzia 7 pro kwenda mbele, balaa la Google Pixel kwenye Camera sio dogo kabisa.
2. Chukua Samsung S23 Ultra.
Samsung hata kwenye kiza bado wanakutolea picha moja kali sana, Pixel ana baadhi ya simu zina Laser, kwenye kiza ile laser inafocus kwenye object, inatoa picha moja ya moto sana. Hii laser hata Pixel pia inazo. Iphone hawana kabisa.
3. Iphone 13 pro Max.
Iphone huwa anakoleza rangi kwenye picha na video ndo maana wadada wanazipenda pamoja na brand.
Overall, matoleo ya Google ukisikia Pro, hasa kuaniza 6 hadi 10 OGOPA SANA ENEO LA CAMERA, Samsung ukisikia S23 sijui S24 Ultra, HUO NI MOTO MWINGINE kabisa upande wa Camera.
Iphone hafui dafu mbele ya jamaa hao wawili.
Mtu atoe 1m akuchukue simu yenye undugu na infinix/tecno kweli?Nunua Xiaomi 15T au 15T Pro ni around 1.2M
Ni one of the best camera phones in your budget
View attachment 3530973View attachment 3530974View attachment 3530975
Umetumia hisia kuandika hii comment yako, bila fact hata mojaMtu atoe 1m akuchukue simu yenye undugu na infinix/tecno kweli?
Kama ishu ni Camera tu, pasipo kuwaza mara mbili, nenda na Pixel.asante kwa ufafanuz
Sasa Pixel 7 Pro ni milioni moja we jamaa?1. Chukua Pixel Pro kuanzia 7 pro kwenda mbele, balaa la Google Pixel kwenye Camera sio dogo kabisa.
2. Chukua Samsung S23 Ultra.
Samsung hata kwenye kiza bado wanakutolea picha moja kali sana sababu Camera zake zina Laser, Pixel ana laser kwenye baadhi ya simu zake, kwenye kiza ile laser inafocus kwenye object, inatoa picha moja ya moto sana. Hii laser Iphone hawana kabisa.
3. Iphone 13 pro Max.
Iphone huwa anakoleza rangi kwenye picha na video ndo maana wadada wanazipenda pamoja na brand.
Overall, matoleo ya Google ukisikia Pro, hasa kuaniza 6 hadi 10 OGOPA SANA ENEO LA CAMERA, Samsung ukisikia S23 sijui S24 Ultra, HUO NI MOTO MWINGINE kabisa upande wa Camera.
Iphone hafui dafu mbele ya jamaa hao wawili.
Sawa mkuu ila ni bora kwenda ktk brand hizi tatu, Google Pixel, Samsung na Iphone kuliko hiyo xiaomi yako.Umetumia hisia kuandika hii comment yako, bila fact hata moja
Unapoongea kuhusu tech unapaswa uongee kama msomi, sio kupayuka tu
Mbona unaleta ukali tenaumeenda nje ya maelezo, unaposema niweke pembeni bajeti inamaanisha ww ndo unanipangia bajeti yangu, mm nimekupa bajeti yangu mkuu na nikakuomba unapochangia mawazo changia ukitazama bajeti yangu pia. Anyway asante kwa mchango wako
Nimesema 7 pro kwenda mbele.Sasa Pixel 7 Pro ni milioni moja we jamaa?
Mbona unaleta ukali teumeenda nje ya maelezo, unaposema niweke pembeni bajeti inamaanisha ww ndo unanipangia bajeti yangu, mm nimekupa bajeti yangu mkuu na nikakuomba unapochangia mawazo changia ukitazama bajeti yangu pia. Anyway asante kwa mchango wako
Kuna mtu umemkaripia hapo juunimekukaripia?